Chagizo kwa mamlaka ya mapato (TRA)

TRA waache kumung'unya maneno,Form inaonyesha pesa ziliingia kwenye account yao ya DOMESTIC REVENUE,sasa kama haziwahusu wao si wazirudishe CRDB TOWER BRANCH zilikotoka?
 
Duh sasa nani kazipotea. Mheshimiwa Ngeleja wereva you are nipe mimi hizo hela. Maana soon utaozea jela na wenyewe wamezisusa
 
Kama TRA hawazitambui si wamwandikie Ngeleja cheki wamrudishie kama wanavyorudisha za VAT zinazodaiwa na walipakodi ili aamue kama aatmrudishia Ruge au azipeleke hazina? Wanasemaje hawazitambuia halafu wanaendelea kukaa nazo?
 
Ile ndio ishafika pale mengine yote ni story za vijiweni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu mwanzo nilijua Ngeleja alichemka.... Upewe na Ruge uzirudishe TRA? Wao walipaswa kupokea income tax tu.... Alikurupuka na sijui aliyemshauri ni nani!!!!
HILO NALOO NENO! NIKUPE MM WEWE UKARUDISHE KWA MWINGINE!!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…