[emoji15] [emoji2] [emoji15] [emoji2] sio zangu mimi sihusiki nazoWaniambie niwape akaunti yangu ya benki ya posta waniwekee hiyo hela. Naahidi kutoa 10% kama zaka na inayobaki namalizia kibanda changu pale Mbauda R chuga....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngeleja keshalitua ziko kazi iko kwao watajua pa kuzipeleka'ukitema n'chale na ukimeza ni n'chale tu...' By Wamakonde
smile and silence
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kichwa kinauma mkuu..duuuh
Shida wakuzipeleka ninaniWazipeleke kibiti zikasaidie ulinzi wa raia
Kabisa mkuu
Shuruti.... Maagizo toka gizani.. Sauti isiyoonekanaTangu mwanzo nilijua Ngeleja alichemka.... Upewe na Ruge uzirudishe TRA? Wao walipaswa kupokea income tax tu.... Alikurupuka na sijui aliyemshauri ni nani!!!!
Kuna milango mingi ya kuingilia ila wa kutokea ni mmoja tuuKama kuna kitu kigumu duniani ni TRA kurudisha pesa kwa mtu. Ila haya maruweruwe haya only in TZ
Sent using Jamii Forums mobile app
TRA Wanarudishagaa mfano Vat na fidia .kazi sasa ni kwa Ngeleja azichukue arudishe kwa Rugamalira na huko nako account zimefungwa na mwenyewe yuko mahabusu .Jibu ya yote ni achukue akae nazo aje akamatwe nazo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama kuna kitu kigumu duniani ni TRA kurudisha pesa kwa mtu. Ila haya maruweruwe haya only in TZ
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika tutaona mengi sana. Ee Mwenyezi Mungu tupe uhai wa kuweza kushuhudia mwisho wa hili rhumba....
Ni kuhusu pesa ya ESCROW iliyorejeshwa na mmoja wa wanufaika ndugu William Ngeleja.
Kwa utashi wake mwenyewe ama kwa kuombwa au kushurutishwa kufanya hivyo na pengine pia kuhukumiwa na nafsi.... Ngeleja aliamua kurudishwa jumla ya Tsh 40, 000, 000/=
Ukisikia ujasiri na uthubutu ni huu.... Wengi kwa mamilion hawawezi, wasingeweza! Ngeleja kaweza
Mabezo yamekuwa mengi lakini yeye ana amani sasa, katua mzigo mzito sana.... Kama kuna jinai hicho ni kitu kingine
Mzigo alioutua Ngeleja umebebwa na mamlaka ya mapato, kupitia account yake halali ya kodi za ndani (domestic revenue) pesa ililipwa na kupokelewa... Siku chache zilizopita
Leo kupitia msemaji wa hizo kodi mamlaka imekana kuzitambua pesa husika (nimekumbuka vichwa vya treni bandarini)...... Kama ni kweli hawazitambui hizi pesa (kiuhalisia iko hivyo) na kwa kutumia weledi uliotukuka
WAZIRUDISHE ZILIKOTOKA kinyume chake majibu yatakuwa mapya kila uchao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mawazo kama yako. Nilijua kachemka. Inaonekana hakuwaarifu kama anarudisha zile fedha. Ili fedha ya tra iwe accountable lazima kuwe na source. Uhamishaji wa fedha nmna hiyo kwenda tra ulikuwa zamani sani sana. Siku hizi mpaka uwe na control namba. Yeye kafanya transfer bila kuwajulisha ni fedha za nini. Zitakaa suspence account kwa mwaka mmoja halafu zinageuzwa kuwa revenue to the governmentTangu mwanzo nilijua Ngeleja alichemka.... Upewe na Ruge uzirudishe TRA? Wao walipaswa kupokea income tax tu.... Alikurupuka na sijui aliyemshauri ni nani!!!!