chademi udom waponda maamuzi ya ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chademi udom waponda maamuzi ya ccm

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by namboyo, Apr 11, 2011.

 1. n

  namboyo Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wafuusi wa chadema udom na wanaharakati wameponda staili iliyotumiwa na ccm huku wakisema wangeanza na kuwafukuza mafisadi kumi walioko ndani ya ccm hata hivyo mjadala uliopo kwa baadhi ya wanafunzi umebaini kuwa ni mpango wa kikwete kumuundaa lowasa kuwa raisi huku wengi wa wafuusi wa ccm wakikimbia chama chao wakisema mswada unanuka damu utaleta vita huku wakijiandaa na maandamano ya tarehe 16/4/2011 ya kupinga mswada maandamano hayo yatafanyika mikoa kumi na saba huku vijana wengi wakisema wanataka kuongozwa na lema moto lazima uwake.......................
   
 2. K

  KWELIMT Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mmh ningeshangaa cdm wangetoa pongezi !hata hvyo hivi nyoka akijivua gamba haumi.............?kama alikuwa ana sumu itakwisha?
  :mmph:
   
Loading...