Chademas worst nightmare

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,481
20,423
Hamna picha inayokosesha usingizi Ufipa kama kombinisheni ya hizi mitu minne

Untitled.png
 
Wagombea wa Chadema Wa Urais huwa wanarudi CCM

Slaa na Lowassa tayari

Mbowe anasubiri akikosa Uenyekiti arudi CCM

Mkiona Lissu anagombea Urais ujue nae atarudi CCM 2023
 
Wagombea wa Chadema Wa Urais huwa wanarudi CCM

Slaa na Lowassa tayari

Mbowe anasubiri akikosa Uenyekiti arudi CCM

Mkiona Lissu anagombea Urais ujue nae atarudi CCM 2023
ahhaha hahah historia ni mwalimu mzuri
 
Maji hufuata mkondo siku zote gamba fisadi limeamua kurudi kwa mafisadi wenzie kwani limeona mlango wa hazina umeachwa wazi kabisa wajichotee tu

zwazwa unamuongelea Lowassa wa 2015 ?
 
Hamna picha inayokosesha usingizi Ufipa kama kombinisheni ya hizi mitu minne

View attachment 1035523
Siasa za TZ we acha tu,
Sasa HV tunaonesha ukomavu wa siasa maslahi kama Kenya,we jiurize hv Dr Slaa aliyemkimbia Lowasa baada ya kuingia Chadema,atajitoa CCM baada ya Lowasa kurudi?!
Mzee wa watu hana cha kupoteza,anajenga mazingira ya wanawe kufaidika,na asante atakayopewa ni kwa kijana wake Freddy,kuchukua jimbo LA Monduli,yule mbunge Katanga,aliyemtusi baada ya kujiengua Chadema,sasa HV anatoka mishuzi tu!!
Siasa bora zipo Ulaya na America,Africa tunacheki maskahi kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wagombea wa Chadema Wa Urais huwa wanarudi CCM

Slaa na Lowassa tayari

Mbowe anasubiri akikosa Uenyekiti arudi CCM

Mkiona Lissu anagombea Urais ujue nae atarudi CCM 2023
Chama ni cha mtei na msimamizi mkuu ni mkwe wake mbowe hivyo mbowe hawezi kurudi ccm akaacha biashara ya babamkwe ikiyumba.
 
Back
Top Bottom