CHADEMA, Zitto, Tundu Lissu jifunzeni kwa Jeremy Cobyn

Kicheko
unafananisha kojima na Buhari. Hiyoseriksli yu naomba msaada nchi za nje sembuse chama upinzani ambayo hakuna polisi waka jeshi.
Halafu UK polisi , jeshi hawana chama ila Bongo wako chini ya CCM. Umeona polisi wa UK wakimkamata Corbyn? Kama huku wanavyoksmata hata mitihani ukiwa inamuhusu mpinzani? Mimi naona wa kujifunza ni Jiwe
 
Ha ha ha ha pascal kumbe hicho tu ndicho ulichoenda kujifanya ulipoitwa kule?

Yaani ulienda kutoa somo tu la Matumizi ya alama haswa alama ya kuuliza katika Lugha ya Kiswahili?

Ahsante kwa kutumegea kwa uchache kilichojiri ile siku.
 
Hoja hii imemjibu muuliza swali
 
Unaishi Tanzania ipi?? Huyo Tundu Lisu ana kesi zaidi ya kumi, hujaenda kwa Mbowe, hujaenda kwa akina Maalim Seif ,hujaenda kwa viongozi wengine wa upinzani
Halafu wabunge wa UK wakiwa Bungeni wanasimamia msimamo yao na siyo msimamo wa kiongozi wao wa kusifu na kuabudu. Mimi naona wabunge wa CCM wajifunze kutoka kwa wabunge wa Conservative kuna watu wamejiuzulu binge wao kwa kutoafikiana na kiongozi wao wetu wanaweza? Hasa Kibajaji si atarudi kuchimba zege? Thubutu! Ndiyo faida ya kuchsgua wabunge masikini ambao maisha Yao inategemea ubunge. Hawana professional yoyote, ubunge ukiisha hana maisha.
Sijaona mbunge wa Conservative kabla hajajua Mustafa anaanza kumsifia prime minister. Huku kwetu kituko kila anaeongea owe bungeni, waziri, katibu kata nk kabla hajaleta ujumbe lazima stymie robo saa ku worship kwanza awamu ya5 pis serikali ya John Joseph Pombe
 
Huwezi kufananisha demokrasia ya Wazungu waliostaarabika toka karne ya 15 na hii yetu...kwanza hapa kwetu hakuna kitu kinaitwa kujiuzulu bali kuna kitimuliwa unapokwenda tofauti na mawazo ya zidimu fikra.
 
Huyo jamaa ni kaka kumbe? Nkajua ni maza
 
Si kweli
 
Issue kubwa ni kwamba mazingira ya kisiasa ikiwemo uimara wa mifumo ya Uingereza na Tanzania ni tofauti kabisa.
 
Umechemka, hakuna kusichopingwa kortin.

Kwa taarifa tu leo mahakama imeamua kulifunga bunge ni batili na kinyume cha sheria.

Sijui aliyekuambis maamuzi ya malkia hayapingwi ni nani?
 
Tumia akili kidogo mzee, Ingekua kuna uhuru wa mikutano kama UK, bunge live kama UK, free speech kama UK, basi nakwambia hao wapinzani uliowataja wangetumia mbinu hizo hizo za korby au hata zaidi, ila kwa mambo yalivyo sasa acha tu wawategemee hao waingereza ndo option ambayo inawaumiza serikali kwa sasa.
 
Habari na mada kama hizi zahitaji Watu wenye kufikiria sana
Ila wale Vibendera fuata mkumbo hawata kuelewa kabisa
Narudia kusema Tanzania bado hatuja pata Upinzani hawa tulio nao ni Wachumia tumbo tu
 
Habari na mada kama hizi zahitaji Watu wenye kufikiria sana
Ila wale Vibendera fuata mkumbo hawata kuelewa kabisa
Narudia kusema Tanzania bado hatuja pata Upinzani hawa tulio nao ni Wachumia tumbo tu

Wachumia tumbo wamejenga airport Chato, na wengine walijiuzia migodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…