Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 6,980
- 14,743
Hapa Tanzania upinzani kufanya vikao vya ndani tu imeshindikana sembuse waende kwa raia??
Kicheko unafananisha kojima na Buhari. Hiyoseriksli yu naomba msaada nchi za nje sembuse chama upinzani ambayo hakuna polisi waka jeshi.Ndugu zangu,
Nimekuwa nikifuatilia mjadala wa Brexit katika Bunge la makabwela (house of commons) la UK.Nilichogumdua kambi ya upinzani chini ya Jeremy Cobyn wanajenga uhalali wa hoja zao huku wakitaka kuungwa mkono na waingereza na si mataifa ya nje.
Leo tumeshuhudia maspika wa mabunge yote lile la mabwanyenye (house of Lords) na makabwela (house of commons) walitangaza kuahirisha mijadala kwa wiki tano hadi tarehe 14 October,2019,kufuatia amri iliyosainiwa na malkia wa Uingereza ambayo haiwezi kupingwa kortini kwani wabunge,mawaziri na waziri Mkuu UK huapa kutii maagizo ya mfalme au Malkia.
Ninayasema haya kwa sababu najua Jeremy Cobyn ni bosi wa Zitto Kabwe,na vile vile Chadema na Tundu Lissu wamekukuwa wakiishitaki Tanzania kwa waingereza ili washinikize wananchi kupitia serikali kurejea utumwa wa fikra.Mara kadhaa Zitto,Tundu na Chadema wameandika barua kwenye ofisi za Balozi na Bunge la UK ili Watanzania washindwe na kurudi kwenye utumwa bila mafanikio.
Jeremy Cobyn,hajawahi kutaka msaada wa nchi za nje ili kumpa shinikizo Borris au Malkia bali anashawishi wananchi na wabunge.Hili ni fundisho,kama wanasiasa wa upinzani wataendelea kukumbatia utumwa na fikra za kushikiwa akili hakika wananchi tutawapuuza.
NB:Katika andiko hili,Chadema inamaanisha Mbowe na wafuasi wa Chadema, Tundu Lissu ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe ni Zitto Kabwe.
Tujadili kwa mantiki.
Eric Kabendera, Viongozi wa CDM kwenye kesi iliyoko Kisutu, Mb Joseph Mbilinyi kesi ya mwaka 2017 na Godless Lema mwaka 2017.Hapa Tanzania nani kabambikiziwa kesi?
Unaishi Tanzania ipi?? Huyo Tundu Lisu ana kesi zaidi ya kumi, hujaenda kwa Mbowe, hujaenda kwa akina Maalim Seif ,hujaenda kwa viongozi wengine wa upinzaniHapa Tanzania nani kabambikiziwa kesi?
Ha ha ha ha pascal kumbe hicho tu ndicho ulichoenda kujifanya ulipoitwa kule?Mkuu Kaka Wakudadavua, naunga mkono hoja, na kiukweli hapa sasa ndio nakuona ukiwathibitishia hawa wajinga wajinga wa humu kuwa Kaka Wakudadavua alipiga shule ya ukweli, maana hii mada imekwenda shule.
Hili somo la Wapinzani wa Uingereza ni somo zuri sana kwa Wapinzani wa Tanzania waige wapinzani wenzao wa ukweli wa Uingereza, ila pia Kaka Wakudadavua, mweleleze na Spika na Naibu Spika, na wao waendeshe Bunge letu kwa haki kama linavyoendeshwa Bunge la Uingereza ili kina Lissu, kina Zitto, kina Mbowe na Wapinzani, nao wawe kama wenzao.
Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?
Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo, hii ni thread ya swali na sio statement. Jee Bunge Letu Ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza Lenye Meno Linavyong'ata Serikali. Jee Kuna Ubaya Wowote na sisi Bunge Letu Tukiiga Mazuri ya Mabunge Mengine Katika Kuisimamia Serikali Zao?. Kumewahi...www.jamiiforums.com
Ukisoma bandiko hilo, naomba niweke msisitizo kabla, uangalie kuna alama ya kuuliza maana...
Sitaki kuitwa tena mahali kujieleza kama ilivyotokea mwanzo mtu kufunga safari all that way, kwenda kuwafundisha watu kusoma alama tuu ya kuuliza!.
P
Hoja hii imemjibu muuliza swaliMbona kama unachanganya mambo, unaongelea ishu ya kujenga hoja bungeni wakati huohuo unachanganya ni ishu ya wananchi kuandamana kumtoa mtawala kwenye nchi ambayo hata umoja wa wanawake wa chama cha upinzani wakikaa kikao cha ndani kujadili mambo yao wanafurumushwa kwa mabomu na virungu.
Utetezi dhaifuHao wananchi wataonana nao wapi ili waongee nao?.Kama mikutano ya ndani tu au hata wakikutana misibani wanasambaratishwa ili wasiongee na wananchi.
Halafu wabunge wa UK wakiwa Bungeni wanasimamia msimamo yao na siyo msimamo wa kiongozi wao wa kusifu na kuabudu. Mimi naona wabunge wa CCM wajifunze kutoka kwa wabunge wa Conservative kuna watu wamejiuzulu binge wao kwa kutoafikiana na kiongozi wao wetu wanaweza? Hasa Kibajaji si atarudi kuchimba zege? Thubutu! Ndiyo faida ya kuchsgua wabunge masikini ambao maisha Yao inategemea ubunge. Hawana professional yoyote, ubunge ukiisha hana maisha.Unaishi Tanzania ipi?? Huyo Tundu Lisu ana kesi zaidi ya kumi, hujaenda kwa Mbowe, hujaenda kwa akina Maalim Seif ,hujaenda kwa viongozi wengine wa upinzani
Huyo jamaa ni kaka kumbe? Nkajua ni mazaMkuu Kaka Wakudadavua, naunga mkono hoja, na kiukweli hapa sasa ndio nakuona ukiwathibitishia hawa wajinga wajinga wa humu kuwa Kaka Wakudadavua alipiga shule ya ukweli, maana hii mada imekwenda shule.
Hili somo la Wapinzani wa Uingereza ni somo zuri sana kwa Wapinzani wa Tanzania waige wapinzani wenzao wa ukweli wa Uingereza, ila pia Kaka Wakudadavua, mweleleze na Spika na Naibu Spika, na wao waendeshe Bunge letu kwa haki kama linavyoendeshwa Bunge la Uingereza ili kina Lissu, kina Zitto, kina Mbowe na Wapinzani, nao wawe kama wenzao.
Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?
Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo, hii ni thread ya swali na sio statement. Jee Bunge Letu Ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza Lenye Meno Linavyong'ata Serikali. Jee Kuna Ubaya Wowote na sisi Bunge Letu Tukiiga Mazuri ya Mabunge Mengine Katika Kuisimamia Serikali Zao?. Kumewahi...www.jamiiforums.com
Ukisoma bandiko hilo, naomba niweke msisitizo kabla, uangalie kuna alama ya kuuliza maana...
Sitaki kuitwa tena mahali kujieleza kama ilivyotokea mwanzo mtu kufunga safari all that way, kwenda kuwafundisha watu kusoma alama tuu ya kuuliza!.
P
Si kweliHalafu wabunge wa UK wakiwa Bungeni wanasimamia msimamo yao na siyo msimamo wa kiongozi wao wa kusifu na kuabudu. Mimi naona wabunge wa CCM wajifunze kutoka kwa wabunge wa Conservative kuna watu wamejiuzulu binge wao kwa kutoafikiana na kiongozi wao wetu wanaweza? Hasa Kibajaji si atarudi kuchimba zege? Thubutu! Ndiyo faida ya kuchsgua wabunge masikini ambao maisha Yao inategemea ubunge. Hawana professional yoyote, ubunge ukiisha hana maisha.
Sijaona mbunge wa Conservative kabla hajajua Mustafa anaanza kumsifia prime minister. Huku kwetu kituko kila anaeongea owe bungeni, waziri, katibu kata nk kabla hajaleta ujumbe lazima stymie robo saa ku worship kwanza awamu ya5 pis serikali ya John Joseph Pombe
Ukweli uko Je ?!.Si kweli
Yaani unahangaika na mpiga tarumbeta wa Lumumba?Abii wa Ethiopia alikwenda kula tende Khartoum ??
Ndugu zangu,
Nimekuwa nikifuatilia mjadala wa Brexit katika Bunge la makabwela (house of commons) la UK.Nilichogumdua kambi ya upinzani chini ya Jeremy Cobyn wanajenga uhalali wa hoja zao huku wakitaka kuungwa mkono na waingereza na si mataifa ya nje.
Leo tumeshuhudia maspika wa mabunge yote lile la mabwanyenye (house of Lords) na makabwela (house of commons) walitangaza kuahirisha mijadala kwa wiki tano hadi tarehe 14 October,2019,kufuatia amri iliyosainiwa na malkia wa Uingereza ambayo haiwezi kupingwa kortini kwani wabunge,mawaziri na waziri Mkuu UK huapa kutii maagizo ya mfalme au Malkia.
Ninayasema haya kwa sababu najua Jeremy Cobyn ni bosi wa Zitto Kabwe,na vile vile Chadema na Tundu Lissu wamekukuwa wakiishitaki Tanzania kwa waingereza ili washinikize wananchi kupitia serikali kurejea utumwa wa fikra.Mara kadhaa Zitto,Tundu na Chadema wameandika barua kwenye ofisi za Balozi na Bunge la UK ili Watanzania washindwe na kurudi kwenye utumwa bila mafanikio.
Jeremy Cobyn,hajawahi kutaka msaada wa nchi za nje ili kumpa shinikizo Borris au Malkia bali anashawishi wananchi na wabunge.Hili ni fundisho,kama wanasiasa wa upinzani wataendelea kukumbatia utumwa na fikra za kushikiwa akili hakika wananchi tutawapuuza.
NB:Katika andiko hili,Chadema inamaanisha Mbowe na wafuasi wa Chadema, Tundu Lissu ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe ni Zitto Kabwe.
Tujadili kwa mantiki.
Ndugu zangu,
Nimekuwa nikifuatilia mjadala wa Brexit katika Bunge la makabwela (house of commons) la UK.Nilichogumdua kambi ya upinzani chini ya Jeremy Cobyn wanajenga uhalali wa hoja zao huku wakitaka kuungwa mkono na waingereza na si mataifa ya nje.
Leo tumeshuhudia maspika wa mabunge yote lile la mabwanyenye (house of Lords) na makabwela (house of commons) walitangaza kuahirisha mijadala kwa wiki tano hadi tarehe 14 October,2019,kufuatia amri iliyosainiwa na malkia wa Uingereza ambayo haiwezi kupingwa kortini kwani wabunge,mawaziri na waziri Mkuu UK huapa kutii maagizo ya mfalme au Malkia.
Ninayasema haya kwa sababu najua Jeremy Cobyn ni bosi wa Zitto Kabwe,na vile vile Chadema na Tundu Lissu wamekukuwa wakiishitaki Tanzania kwa waingereza ili washinikize wananchi kupitia serikali kurejea utumwa wa fikra.Mara kadhaa Zitto,Tundu na Chadema wameandika barua kwenye ofisi za Balozi na Bunge la UK ili Watanzania washindwe na kurudi kwenye utumwa bila mafanikio.
Jeremy Cobyn,hajawahi kutaka msaada wa nchi za nje ili kumpa shinikizo Borris au Malkia bali anashawishi wananchi na wabunge.Hili ni fundisho,kama wanasiasa wa upinzani wataendelea kukumbatia utumwa na fikra za kushikiwa akili hakika wananchi tutawapuuza.
NB:Katika andiko hili,Chadema inamaanisha Mbowe na wafuasi wa Chadema, Tundu Lissu ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe ni Zitto Kabwe.
Tujadili kwa mantiki.
Habari na mada kama hizi zahitaji Watu wenye kufikiria sana
Ila wale Vibendera fuata mkumbo hawata kuelewa kabisa
Narudia kusema Tanzania bado hatuja pata Upinzani hawa tulio nao ni Wachumia tumbo tu
Kwa mfano wabunge wa conservative wote wamepiga kura kujiondoa Brexit na wale 21 waliooinga wamefukuzwa na watapewa loyals.Siku zote duniani coucus za vyama ndio huamua mamboUkweli uko Je ?!.