CHADEMA yetu ya mabadiliko ipo wapi?

Wasipokuwa makini yatakuwa yale yale ya kulishwa matango poli kuwa nyie pigeni kura kisha tazilinda mwenyewe...daaah
Mwaka huu lazima ukubali kuramba miguu kama kina Waitara labda utapewa kanafasi maana ubunge ndiyo hivyo tena
 
Hongera kwa kumaliza utumishi wa jela salama. Miaka minne si mchezo!
 
Sababu ni Jiwe,anawanunua,wakikataa anawapiga risasi
 
Chadema imefungwa hawaruhusiwi kufanya mikutano ya aina yoyote wewe unataka uwaone wapi?
Demokrasia ya Tanzania imebakwa hakuna uhuru wa kujieleza hakuna ukweli taifa limebaki la watia nia
 
Hongera kwa kumaliza utumishi wa jela salama. Miaka minne si mchezo!
Alikuwa anaishi kwa matumaini kuwa ipo siku atakabidhiwa wilaya kama kina Katambi, lkn anaona siku zinaenda tu.

Usishangae kesho ukamuona Fayza Foxy naye anarudi uwanjani
 
CHADEMA wenyewe wanasema wameimarika kuliko zaid katika hiki kipindi hiki cha chattle jesus.Tusubiri tuu kipenga kipulizwe halafu watu wakutane uwanjani.
 
Kuna kipindi mlisema mtachukuwa nchi kwa maandamano nchi nzima mlikwama wapi.
 
Ni kitu gani kimetokea ndani ya Chadema, kinapoelekea naona kama kitakuwa kama TLP, naona wabunge wengi wanarudi CCM na wafuasi wao bila hamna tena mshikamano wa maandamano wala matamko ambayo tulikuwa tumeyazoea.


JIBU:
Bunduki kuwaua,kuwakamata kwa kesi za kusingiziwa,kuwateka,kuwapoteza,kuwafanyia kila hila na hujuma haya ndo matokeo yake.Uzuri ni kwamba watu wanajua na wanaelewa,watanzania si wajinga.Wasidhani wameshinda na wanapendwa la hasha.Siki zaja.
 
Chadema yako na nani?
Tangu lini wewe uko Chadema?
 
Chadema imefungwa hawaruhusiwi kufanya mikutano ya aina yoyote wewe unataka uwaone wapi?
Demokrasia ya Tanzania imebakwa hakuna uhuru wa kujieleza hakuna ukweli taifa limebaki la watia nia
Taifa lipo kwenye mapito
 
Huyo Ritz ameamua makusudi kuleta uzi huu ili kutafuta kiki baada ya kutoka msogani
Kinachotakiwa ni tume Huru na observers wa nje hakuna kingine. Sauté za Chadema zitasikika tu kuwe ama kusiwe na vyombo na systems huru?
 
Jamaa itakua amekumbukwa kwenye teuzi hizi za hasira za replecement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…