Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Amesahau kuwa kila masika na mbu wake
Kabanwa mbavu
Kabanwa mbavu
Eti maandamano kila kona.
Umelewa wanzuki?
Nilijua umeshayaaga haya maisha ooh karibu tena
Mwaka huu lazima ukubali kuramba miguu kama kina Waitara labda utapewa kanafasi maana ubunge ndiyo hivyo tenaWasipokuwa makini yatakuwa yale yale ya kulishwa matango poli kuwa nyie pigeni kura kisha tazilinda mwenyewe...daaah
Hongera kwa kumaliza utumishi wa jela salama. Miaka minne si mchezo!Wanaukumbi,
Tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020. Sioni ile nguvu ya Chadema iliyokuwa nayo miaka kumi iliyopita, Chadema ya mabadiliko, CHADEMA ya Maandamo kila kona.
Ni kitu gani kimetokea ndani ya Chadema, kinapoelekea naona kama kitakuwa kama TLP, naona wabunge wengi wanarudi CCM na wafuasi wao bila hamna tena mshikamano wa maandamano wala matamko ambayo tulikuwa tumeyazoea.
Viongozi wa juu ebu jitokezeni kuweka sawa hili jambo, naona hata wafuasi wa Chadema humu JF wamekata tamaa hawajui nini cha kufanya.
Hivi kweli kwa hili kuna matumaini tena ya kuwa chama kikuu cha upinzani au kuchukuwa dola?
Sababu ni Jiwe,anawanunua,wakikataa anawapiga risasiWanaukumbi,
Tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020. Sioni ile nguvu ya Chadema iliyokuwa nayo miaka kumi iliyopita, Chadema ya mabadiliko, CHADEMA ya Maandamo kila kona.
Ni kitu gani kimetokea ndani ya Chadema, kinapoelekea naona kama kitakuwa kama TLP, naona wabunge wengi wanarudi CCM na wafuasi wao bila hamna tena mshikamano wa maandamano wala matamko ambayo tulikuwa tumeyazoea.
Viongozi wa juu ebu jitokezeni kuweka sawa hili jambo, naona hata wafuasi wa Chadema humu JF wamekata tamaa hawajui nini cha kufanya.
Hivi kweli kwa hili kuna matumaini tena ya kuwa chama kikuu cha upinzani au kuchukuwa dola?
Chadema imefungwa hawaruhusiwi kufanya mikutano ya aina yoyote wewe unataka uwaone wapi?Wanaukumbi,
Tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020. Sioni ile nguvu ya Chadema iliyokuwa nayo miaka kumi iliyopita, Chadema ya mabadiliko, CHADEMA ya Maandamo kila kona.
Ni kitu gani kimetokea ndani ya Chadema, kinapoelekea naona kama kitakuwa kama TLP, naona wabunge wengi wanarudi CCM na wafuasi wao bila hamna tena mshikamano wa maandamano wala matamko ambayo tulikuwa tumeyazoea.
Viongozi wa juu ebu jitokezeni kuweka sawa hili jambo, naona hata wafuasi wa Chadema humu JF wamekata tamaa hawajui nini cha kufanya.
Hivi kweli kwa hili kuna matumaini tena ya kuwa chama kikuu cha upinzani au kuchukuwa dola?
Alikuwa anaishi kwa matumaini kuwa ipo siku atakabidhiwa wilaya kama kina Katambi, lkn anaona siku zinaenda tu.Hongera kwa kumaliza utumishi wa jela salama. Miaka minne si mchezo!
Kunja mikono zungusha zungusha daaah makamanda tatizo nini??
Chadema yako na nani?Wanaukumbi,
Tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020. Sioni ile nguvu ya Chadema iliyokuwa nayo miaka kumi iliyopita, Chadema ya mabadiliko, CHADEMA ya Maandamo kila kona.
Ni kitu gani kimetokea ndani ya Chadema, kinapoelekea naona kama kitakuwa kama TLP, naona wabunge wengi wanarudi CCM na wafuasi wao bila hamna tena mshikamano wa maandamano wala matamko ambayo tulikuwa tumeyazoea.
Viongozi wa juu ebu jitokezeni kuweka sawa hili jambo, naona hata wafuasi wa Chadema humu JF wamekata tamaa hawajui nini cha kufanya.
Hivi kweli kwa hili kuna matumaini tena ya kuwa chama kikuu cha upinzani au kuchukuwa dola?
Taifa lipo kwenye mapitoChadema imefungwa hawaruhusiwi kufanya mikutano ya aina yoyote wewe unataka uwaone wapi?
Demokrasia ya Tanzania imebakwa hakuna uhuru wa kujieleza hakuna ukweli taifa limebaki la watia nia
Chadema yako na nani?
Tangu lini wewe uko Chadema?
Huyo Ritz ameamua makusudi kuleta uzi huu ili kutafuta kiki baada ya kutoka msogani
Upinzani unapita kipindi kigumu huenda kuliko kipindi cha ukoloni wa mzunguTaifa lipo kwenye mapito