CHADEMA yetu ya mabadiliko ipo wapi?

Ulipotea sana comrade karibu sana
 
Naona nawewe umeamua kufuata njia za kina @wakudadavua, jingalao.

Uteuzi kwa sasa umesimamishwa maana hata mteuzi mwenyewe hana uhakika wa kusalia kwenye kiti cha uteuzi.
 
Chadema Kumuunga Mkono Mgombea wa CCM yangu niipendayo ili kumkomoa Jasusi mbobezi.
 
Naona nawewe umeamua kufuata njia za kina @wakudadavua, jingalao.

Uteuzi kwa sasa umesimamishwa maana hata mteuzi mwenyewe hana uhakika wa kusalia kwenye kiti cha uteuzi.
@Wakudadavuwa huwezi kumuona sasa hivi maana viti maalum anajua hatakuwepo, jimbo la Songwe alilokuwa analipigia hesabu mambo yameharibika sasa yupo yupo tuu.
Mzigo watu wamefyatua sana wakipanda na kushuka kama daladala tokea enzi za mzee wa bao la mkono, Madelu hadi sasa lakini hakuna tena wa kumbeba.
Sasa ndio wanafufuka wale wazamani.
 

Mkuu Lizaboni yupo wapi?
 
Nasikia Madelu alipiga sana spana hiyo chombo na siku za karibuni mzee wa poronium ndiye alikuwa anajipoza
 
Ulizoea na kusahau kuwa kila masika na mbu wake, sasa komaa tu maana huwezi linganisha pwani na bara.

Sasa nj zamu yenu kujikomba ili mlinde mlicho kivuna enzi hizo mnafanya mtakalo.
 
Watanzania tusifanye kosa la kukubali kuuwawa kwa vyama vya upinzani. Vyama hivi vipo kisheria na si vikundi vya waasi. Vyama vya siasa ni muhimu kwa ufanisi wa serikali, ndivyo vinavyoikosoa na kuifanya serikali ijirekebishe na isilale. Kumbukeni kwamba ccm walilazimika kumchagua magu kwani waliona wanakwenda kushindwa, la sivyo magu angekuwa leo hii labda ni mkuu wa mkoa tu. Hii ndiyo kazi ya upinzani, tukiacha upinzani ufe basi tegemeeni mambo yale ya zamani; zidumu fikra za mwenyekiti, fikra hizi ndizo zilizotufanya watanzania tukapitwa na wenzetu wengi tu kama Kenya, Zambia, n.k. na kubakia taifa maskini kabisa duniani. Nyerere alitambua hilo ndio maana akalazimisha tuingie mfumo wa vyama vingi kwa matarajio kwamba siku moja CCM itatoka madarakani na mambo yatabadilika. Hata Nyerere angerudi leo angeshangaa kwamba mfumo wa chama kimoja unarudi tena.
 
Mwenyekiti wa maisha ametingwa na mengi,kisa Konyagi, mwingine anabeba mafaili huko Ubelgiji,na waliobaki wanagombeana fito.
 
Zile kauli mbiu za Pipooozi Paawaaaa!! Hamna tena daaah!
 
Kunja mikono zungusha zungusha daaah makamanda tatizo nini??
 
Nilijua umeshayaaga haya maisha ooh karibu tena
 
Eti maandamano kila kona.
Umelewa wanzuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…