CHADEMA yazidi kusuasua Arusha

Join Date : 28th June 2012
Posts : 325
Rep Power : 405
Likes Received88
Likes Given4
 
Wakati mwingine ukikosa kazi nenda ukaongeage hata na house girl wako kuliko kuja na ujinga ujinga wako humu ndani, unakula kwa Lowasa wewe???? Kumbuka hata mkutano wenu wa Stadium shehe amri abeid mlileta watu kwa magali na bado hamkufanikiwa. cdm ni jogooooo,:bange::bange::bange:
 
Chadema ni kama vile msimu wa mvua, soon kitakuja kiangazi, tutakisahau milele

Kiangazi kikija unasahau Mvua milele??
We endelea kuongezea na varanda kwenye nyumba yako Jangwani..
 
sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, ninachokuambia amini ndivyo hali halisi kwa sasa mkoani arusha, chadema ipo hoi
umeandika kama unharisha .......nahisi hata ar. huijui silly..
 
sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, ninachokuambia amini ndivyo hali halisi kwa sasa mkoani arusha, chadema ipo hoi

Mkoani Arusha???? Unaujua mkoa wa Arusha??? na huyo mbunge wa CHADEMA ni wa mkoa???
Wewe huna kazi ni kuzunguka vijiweni mkoa mzima wa Arusha???
Asante kwa kuonesha how behind in thinking you are!
 

pumzika na mumeo usijisumbue kuangaika na habari za chadema kwani hakuna atakayekuunga mkono maana ukweli unafahamika labda ungezungumzia mikoa kama ya pwani, kwa watu wenye akili fupi ila sio A city sawa mwanamama
 

Mkuu ni kweli huyo jamaa anasumbuliwa na ugonjwa wa stroke na possibly siyo mkazi wa Arusha; Endapo ni mkazi wa Arusha nachelea kusema ni msahaulifu kama kuku. Hivi majuzi tume msikia Kada maarafu wa CCM akitoa rai kwa chama chake ya kuwa Arusha hapaingiliki" mara hii kesha sahau au ndo njaa zimehamia vichwani?
 
Lakini mbona Lema ameanza kustaarabika? Msimuangushe jamani, nendeni nae hivyo hivyo mpaka ajirekebishe kabisa. Siku hizi ameibukia mropokaji mpya, mzee Slaa.

Mkuu; hivi wewe kulipwa post yako hadi umtaje Dr.Slaa ?
 
Chadema Arusha wanaitaji kubadilika.

Muishiwa dhaifu ndiye anahitaji kubadilika awachukulie hatua wanao sababisha magorofa kuporomoka, na huu utamaduni wa ku-sign mikataba 17 at per sijui nani kamshauri? naona mnajiandalia mazingira ya kwenda the Hegue.
 
Ana stroke ya psychologia yake ya kudanganya watu wenye uelewa mdogo kama anaedanganya. Kama vipi kafundishe chekechea uwapigie hadithi za fisi na sungura
 

Kupandisha bendera kwenye vijiwe sio maana yake hiyo, ila ni ishara ya kukubalika zaidi, kama unabisha kaweke ya kwenu.
"mikataba minono ya kibiashara na wageni nje", umetumia maneno mengi kufikisha ujumbe wako, kwa ufupi; mmekosa wale wateja wenu kuwauzia nchi.
 

Kwa kuangalia particulars zako kwa haraka haraka ni rahisi kufahamu wewe ni mtu wa calibre (upeo) gani!!
maana the quality of your opinion is a function of your intellectual ability; period
 
Chadema ni kama vile msimu wa mvua, soon kitakuja kiangazi, tutakisahau milele

Hakuna chama tawala kilichokubali kuwa kitaondoka madarakani, mfano KANU, ZANU-PF na vingine vingi. Kwa hiyo CCM nayo iko njiani mkuu.
 
Kwa kuangalia particulars zako kwa haraka haraka ni rahisi kufahamu wewe ni mtu wa calibre (upeo) gani!!
maana the quality of your opinion is a function of your intellectual ability; period

you are very emotional , pole
 

Labda hujasikia jinsi mbunge wako, anavyotishia na kutuma vijana kuumiza wenyeviti wa matawi arusha, mfano halisi aliyekua mwenyekiti wa chadema terat, aliyekua mwenyekiti wa chadema mjini kati ambao wote wamepokea su za vitisho toka kwa lema
 
Stroke hebu tupe habari za huko Arusha jinsi Chadema ilivyochokwa, ni mitaa gani hiyo wanapandisha bendera kwa kulazimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…