CHADEMA yazidi kusambaratisha CCM Ukonga.....

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga kimezidi kujiimarisha kwa kuzindua matawi ya msingi katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo, mkakati unaokwenda sambamba na uchaguzi wa viongozi.

Pia chama hicho kimekuwa kikifanya mikutano ya hadhara na kupokea maelfu ya wanachama wapya wengi wao wakitokea CCM.

Uzinduzi huo ambao unafanyika chini ya uratibu wa Katibu wa Jimbo hilo, Juma Mwipopo, lengo ni kukileta chama karibu na wananchi.

Miongoni mwa matawi ya msingi yaliyozinduliwa hivi karibuni ni Tawi la Msingi la Mnarani, Mtaa wa Gurukakwalala na kufanyika pia uchaguzi wa viongozi wa tawi hilo uliosimamiwa na Katibu wa Jimbo, Mwipopo.

Viongozi waliochaguliwa kuongoza tawi hilo ni pamoja na Bwawa Moses (Mwenyekiti) na Esther Moses (Katibu). Mwakilishi wa Vijana alichaguliwa Salum Mayambe, mwakilishi wa kina mama ni Georgina Jackson na mwakilishi wa wazee ni Deogratius Joram. Vilevile alichaguliwa balozi wa nyumba kumi, Ipyana Noah.

Akitoa maelezo mafupi kabla ya uchaguzi wa viongozi hao, Mwipopo aliwataka wanachama na wapenzi wa CHADEMA kujitokeza hadharani ili chama kiwatambue kuwa wapo, wanakiunga mkono na wanakitumikia kwa uadilifu.

Aidha, Mwipopo alibainisha kuwa lengo la kufungua matawi ya msingi ni kuwatambua wanachama na kuwa na mtandao wa viongozi kuanzia ngazi ya chini na kuwahimiza viongozi waliochaguliwa kutimiza vema wajibu wao kwa kuwatumikia wananchi bila upendeleo.

Akizungumzia kuhusu kukithiri kwa rushwa katika jamii, Mwipopo aliwaonya waliohudhuria katika hafla hiyo kuwachagua viongozi kulingana na sifa zao na si kwa vigezo vya rushwa, urafiki na kufahamiana ili kujitofautisha na vyama vingine vya siasa.

Jimbo la Ukonga kwa sasa ni kati ya majimbo ambayo CHADEMA ina nguvu kubwa na kujirahisishia ushindi katika kiti cha ubunge na viti vya udiwani katika chaguzi zijazo.

Source:Tanzania Daima
 
mnatumia mifagio au madekio make ukonga ni kubwa mkuu.
 
The true change never come without you""
 
kwa dhambi mlizo nazo chadema hakuna mtanzania atakayewapokea kwa sasa nyie piganeni matofari na mchakachue katiba ili mkatalie madarakani ila kwa watanzania msahau.
 
Chadema wakishasakafia matofali mawili na kuweka bendera wao wanaita matawi. Matawi ni wanachama sio bendera.
 
Ukonga kubwa...
Tawi lenyewe limefunguliwa mtaani
ukichek fasta fasta
Bwawa Moses
Ester Moses
wamechagua familia
 
habari yenyewe inatoka gazeti la mbowe unategemea tarifa ibebe ukweli gani.

Aka kagazet ka tanzania daima siku hizi sikasomi tena kinaripot habari za upendeleo na udaku mwingi.

ni kagazeti ka kufungia vitumbua au pweza, wengine wanachimbia dawa tz daima
 
kwa dhambi mlizo nazo chadema hakuna mtanzania atakayewapokea kwa sasa nyie piganeni matofari na mchakachue katiba ili mkatalie madarakani ila kwa watanzania msahau.

...nahisi akili yako inamatatizo,uzi unaongelea watu kujiunga na chadema na matawi yamefunguliwa,we sijui unaandika nini. Buku 7 ni janga kwa taifa...
 
Aka kagazet ka tanzania daima siku hizi sikasomi tena kinaripot habari za upendeleo na udaku mwingi.

ni kagazeti ka kufungia vitumbua au pweza, wengine wanachimbia dawa tz daima

buku7 tayari kwa huu uharo ulioandika hapa kweli nape bure kabisa....
 
Zitto afunguka; tofauti na Lema chanzo ni posho na matumizi ya ruzuku
Hali imekuwa tete ndani ya CHADEMA huku Zito akiweka wazi kuwa ugomvi wake na Lema umetokana na msimamo wake juu ya suala la posho na kishupalia ukaguzi wa ruzuku za vyama vya siasa. Amezidi kufunguka kupitia Radio Clouds iliyomhoji akiwa DSM Mwl Jk International Airport kuwa amemshangaa Lema kumgeuka Zito ambaye alimpokea Chadema akitokea TLP, leo hii anajifanya ni mwasisi wa CDM. Pia Zito amemshangaa Lema kwa kujiunga na wabunge wa CCM na kuamua kumshutumu Zito kutokana na suala la posho. Amezidi kukishangaa chama chake haswa mwenyekiti wa mkoa DSM kumshutumu Zito kupitia mtandao huko ni kukidhoofisha chama wakati ambapo ilitakiwa kujiimarisha tukielekea uchaguzi 2014. CDM inatakiwa kujitathmini na kuchukua hatua!
 
kwa dhambi mlizo nazo chadema hakuna mtanzania atakayewapokea kwa sasa nyie piganeni matofari na mchakachue katiba ili mkatalie madarakani ila kwa watanzania msahau.

Kwani hao waliopo cdm ni wakenya! Tumia akili ya kichwa na sio chini ya mgongo!
 
Aka kagazet ka tanzania daima siku hizi sikasomi tena kinaripot habari za upendeleo na udaku mwingi.

ni kagazeti ka kufungia vitumbua au pweza, wengine wanachimbia dawa tz daima

mkuu naona unataka cdm ikununue upya.pole
 
Back
Top Bottom