Pamoja na w.mkuu kututembelea leo Katika wilaya mpya ya Kakonko-Kigoma, m/kiti wa kijii cha itumbiko kupitia CCM Leo amejiunga na CHADEMA na kuacha kazi ya uenyekiti, ila uongozi CHADEMA wilaya utamtambulisha rasmi tarehe 9 mwezi huu kwenye mkutano wa m4c utakao ongozwa na ZITTO KABWE kama ratiba haitabadilika.
Sku hiyo ataambatana na wanachama wengine CCM wa kijiji hicho waliokuwa wanamuunga mkono. Kwa hali hiyo kijiji hicho hakitakuwa na mwanachama wa CCM tena kwani ilikuwa imebakia ngome ya mwenyekiti tu, wengi wako CHADEMA.
SABABU ZA KUACHANA NA CCM ni ktk sakata la wahamiaji haramu, alikamatwa na kupewa kipigo nusu ya kufa na amekaa jela kwa sku8,kwamba yeye anahifadhi wakimbizi ktk mashamba yake wakifanya shughuli ya kulima shamba lake.