CHADEMA yazidi kupaa kwa 100% mkoa wa Kigoma

CHADEMA yazidi kupaa kwa 100% mkoa wa Kigoma

enyi mnaoiabudu ccm, kiama chenu kinatimia siku za usoni. Huyo Juliana na wenzake waliohamia Ccm, Hawakufukuzwa, bali uzalendo uliwashinda, baada ya kushindwa kuwatumikia wananchi wakaamua kuondoka km walivokuja. Ok. Waliondoka, je! ni kipi walichopunguza ktk harakat za kulikomboa taifa? Zaid harakat zimeongezeka, na wanachama wameongezeka.

Harakati gani??mikutano na kupitisha mabakuli kisha watu kudumbua na wachumba wao mamtoni.akili mali!!.
 
oparesheni kimbunga ni kukili kwa rais JK kwamba yeye ni dhaifu wa vitendo na wala si maneno maana,mipakani kuna askari wa JWTZ bado kuna uhamiaji sasa inapofika mahali mkoa 1tu kuna kuwa na wahamiaji haramu zaidi ya elf 15 ni udhaifu mkubwa sana
 
Back
Top Bottom