CHADEMA Yazidi kung'ara

uchambuzi ni mzuri! safi sana.....kwa alie vaa miwani ya mbao kama nape,anaweza asielewe kincho endelea....
 
uchambuzi ni mzuri! safi sana.....kwa alie vaa miwani ya mbao kama nape,anaweza asielewe kincho endelea....

Wanadhani watu wanadanganyika kwa Propaganda.Watu wanataka Facts!
 
Analysis yako haiitaji ushabiki, iko na kina kirefu.
 
Hii inatia moyo kwa wapiganaji na makamanda wote nchini
 
Itakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani kwa baadhi ya kata nchini. Uchaguzi huo umefanyika kwenye kata ishirini na mbili (22) -kati ya kata ishirini na sita (26) zilizotangazwa kufanya uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi wazi.

Matokeo tuliyoyapata toka kwenye maeneo yaliyofanya uchaguzi yanaonyesha kuwa kati ya kata 22 zilizofanya uchaguzi CCM tumeshinda kata 16 sawa na asilimia 72.72% na wenzetu wamechukua kata 6 zilizobaki sawa na asilimia 27.28%.

Katika Uchaguzi wa Udiwani uliopita(2009) kwa Kata hizo 22,CCM ilishinda kwa asilimia 86.36% na CHADEMA ilipata asilimia 9.09% na NCCR ilipata asilimia 4.54%.
 
wamevaa miwani ya mbao mkuu Arushaone

Tatizo la CCM wanadhani wananchi wa sasa ni wale wa enzi za "zidumu fikra sahihi za m/kiti". Nape anadhani watanzania ni makondoo. Nyeusi anasema ni nyeupe!!

Their end is near!
 

Mkuu ndo hapohapo na kambi ya green guard iliwekwa hapohapo!!!imbombo ngafu!!!!
 

Mkuu Mwita Maranya ongeza juhudi kule Serengeti manake naona Manchila hali si hali bali muhali!
 
Last edited by a moderator:

Ni hapa hapa iyela.Ndipo walipoenda na mwigulu na kuanzisha Jeshi lao la Green Guards ambalo matokeo yake ni mabomu na risasi za Arusha.
 
Naomba kufahamu, hivi ktk hizo kata zilizofanyiwa chaguzi na matokeo kutangazwa, JE ni chama gani Kimeonekana KUONGEZA au KUPOTEZA idadi ya VITI ukilinganiSha na matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010?
 
20-4=Faida.
2+4=hasara.
huu ndio mtaala wa mulugo mpya ambao wanaufanyia majaribio ndani ya ccm ukishakubalika utumike nchi nzima.
 
Mkuu Mungi hii kata ya Bashnet nani diwani mpya wa Chadema?yule Tara aliyehamia au kuna mwingine?

Halafu unamfaham wa dongobesh anaitwa nani?

Diwani wa Bashnet ni Laurent Tara
Diwani wa Dongobesh ni Kamanda Jorojik
 

Big up malema kwa update ur tru great thinker
 
CCM ndiyo waliopoteza zaidi, maana chadema walikuwa wanatetea kata mbili wakaongeza zingine nne. CCM walikuwa wanatetea kata 20 wakapata 16 wamepoteza nne

Mkuu Mungi, hiyo taarifa ya Nape inasema CCM wamepata kata 16 na CDM kata 6 wakati kwa habari zilizomo humu JF tangu jana zinaonyesha CCM walipata kata 15 na CDM kata 7. Naona maelezo yako yanaashiria kitu hicho hicho anachokisema Nape (kata 16 kwa kata6), ina maana hiyo ripoti ya mwenezi imekosewa au ni kweli CDM wamepata kata 6? Hebu nifafanulie hapo mkuu.

cc Mohamedi Mtoi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…