Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,467
- 7,258
CCM ndiyo waliopoteza zaidi, maana chadema walikuwa wanatetea kata mbili wakaongeza zingine nne. CCM walikuwa wanatetea kata 20 wakapata 16 wamepoteza nne
Wakati mwingine tumieni akili zenu...Mbagala CCM hakuwapata kura? Mondolu Sabena walipata kura ngapi? Teh teh teh.
Acha utoto ndiyo maana una mtamani ma'mdogo Rey Sii!...haya tutoke huko kwenye internal affairs tuje kwenye issue iliyopo mezani: Matokeo kwa zile kata 14 yameonesha hivyo. Graph imekuwa ikionesha kuwa CCM imekuwa ikipoteza asilimia za ushindi na kukubalika miongoni mwa watanzania toka uchaguzi wa 2005. Mfano urais CCM walikuwa na 81%; mwaka 2010 wakapata 61%. Pia CDM ambacho kiumri ni chamacha juzi juzi tu kimeonekana kuongeza asilimia za ushindi na kukubalika. Viti vya udiwani na ubunge vimekuwa vikiongezeka kila chaguzi zinapofanyika.Wakati mwingine tumieni akili zenu...Mbagala CCM hakuwapata kura? Mondolu Sabena walipata kura ngapi? Teh teh teh.
Kamanda Molemo ahsante kwa analysisi. Sisi tunajua kiwango cha kukubalika kwa Chadema kinaongezeka huku kiwango cha kuporomoka kwa ccm kikiongezeka pia.
Lakini kwakuwa wanasaidiwa na policcm na tiss ndio sababu ya kuonekana bado wanapumua hadi wakati huu.
Neno kupoteza nape haelewi mana! Walikuwa na 20 hadi 16, je hapo umepata zaidi?
Makuyuni.
Chadema 364
CCM 1,664
Teh teh teh Makamanda mmesahau kuzijumlisha hizi, na za Mbagala.