Chadema yazidi kung'ara vyuoni

Watu walilipuka kwa shangwe wakisema mahali keshatolewa x2 wanga hao wameng'olewa; CheCheMee wameng'olewa
 
Ilikuwa ni furaha ya matokeo mazuri kwa makamanda baada ya shughuli pevu
 
Makamanda hatuna matusi baada ya uchaguzi ni kazi za wapiga kura
 
Magamba wajitathimini maana wamezoea kubeba watu kupeleka mikutano Yao ili ijae wakata kwa mikutano ya makanda watu hufika wilfuly na kuchangia willfuly ndo maana CheCheMee wanapiga mabomu kwa kutumia polsisiem mikutano ya makamanda
 
Nyoka na magamba Yao lazime wapigwe tu maibilisi
 
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz hongereni cna kuwakataa waizi hao pigeni kazi makamanda wangu hongereni cna
 
wanafunzi muangalie sana msije mkacheleweshewa mikopo yenu au kunyimwa kabisa
magamba yakikasirika yanafanya kila kituko.
utashangaa yakaamrisha chuo kifungwe
mmeyakomesha magamba kuwa wao sio kitu bali ni mafisadi na wala rushwa
 
mabadiliko ni kama gharika -- hayakwepeki.
 
jaani MAGAMBA ccm wao kazi yao ni KUSHINDA UCHAGUZI na wala si kuleta maendeleo,sasa mimi nawaomba 2015 waje na slogan ya (WACHA KAZI ZEETU ZITUSEMEHE) maana miaka 50 waliyokaa madarakani hata reli waliyoikuta imewashinda wana taka kuwadanganya rai na vi barabara ambavyo 1 vipo chini ya kiwango,2 ni kodi za wote 3 barabari zilizo jengwa mpaka sasa ni chini ya asilimia 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…