Chadema yazidi kung'ara vyuoni

Chadema yazidi kung'ara vyuoni

Rais anayeondoka.ndo alikuwa akipigana ili Kada wake ndo ashikirie watu wakasema magamba yasiyojiondoa huondo kwa nguvu ya umma M4C
 
Magamba wasipotumia mabomu policcm na mabomu Yao kushinda ndoto lazima wakalie misumari
 
Aisee!!! Kumbe ndio kung'ara kwenyewe huko? Haya wambie cheichei.
 
Kanunu ileile kwamba tukitaka kushinda kwanza ni kujitoa kwenda kupiga kura na kazi ya pili kubwa ni kuzilinda maana magamba lazima wakipate upenyo wanachakachua
 
kwa sela nyepenyepesi km za cdm kwa vijana wavivu wakufikiri na wavivu wakufanya kazi ndo wanadhan ni ukombozi..km kula zitakuwa zinapigwa jf ndo mtashinda vingenevyo mtasubiri sana..pili km sio kutumika ni nn?watu wapo chuo na stil wanachagizwa na siasa...mtatumika sana km condum za kinaslaa na mwisho kuflashiwa tu...
 
sasa hivi ni aibu kujitangaza kuwa una kadi ya CCM
Taifa la heshma haki na ubinaadamu TANZANIA Aibu hizi zilizoletwa na sisiem TUZIFUTE VIPI?
1. Liwalo na liwe ...kweli likawa kwa Dr Uli
2. Likawa kwa shujaa Mwangosi
3. Likawa Olasiti ... bila adabu na heshma wakasingizia waislamu
4. Likawa Soweto wakasingizia cdm
5. Liwalo na liwe likabadilika likawa POLISI WAPIGE NA KUUA RAI KAMA WANAVYOJISKIA
.... Aibu hiiiiiii tuipeleke wapi watanzania wenzangu????????
 
Magamba wana hali mbaya kwan hata sasa kitaa ukimtokea demu akakuliza wewe chama gani ukisema ccm aka gamba umemkosa!!!
 
Matusi yenu.magamba mabomu yenu na policeccm ni bure kwa watanzania
 
kwa sela nyepenyepesi km za cdm kwa vijana wavivu wakufikiri na wavivu wakufanya kazi ndo wanadhan ni ukombozi..km kula zitakuwa zinapigwa jf ndo mtashinda vingenevyo mtasubiri sana..pili km sio kutumika ni nn?rwatu wapo chuo na stil wanachagizwa na siasa...mtatumika sana km condum za kinaslaa na mwisho kuflashiwa tu...

Tunajua mmefundishwa kutukana na chuo chenu cha mwigulu lusinde nkamia na serukamba kwa hiyo.watu hawatakushangaa na Chadema haijibu matusi kwa matus. Lakini na nyie mlikuwa na mgombea na hela mkamwaga hazijasaidia kitu. CCM wakishashindwa ndo walivyo wanaanza Mara siasa haziruhusiwi vyuoni. Sasa kwa taarifa yako CHADEMA hakijawahi kufanya mkutano wowote ndani ya chuo kwani.utawala haurusiwi lakini kinawakalisha tu. Tuna ushahidi wa picha mkutano wa UVCCM ulifanyika chumba cha darasa kwa kuruhusiwa na utawala wakati pande zote zikijua nikosa na bado mmeambulia patupu mkapakatwa tu. CHADEMA haiwezi kuvunja sheria inafuata sheria kwani haiji kufanya biashara za siasa vyuoni vyuoni lakini iko mioyoni mwa watu. CCM NA CHADEMA analysis ni sawa na kulinganisha Kitenge cha KTM na WAX.
 
Wakati mnatukana CHADEMA inamwaga sera na kukubalika na wananchi wamechoka matusi kwani chama hakifanyi tena kazi za utekelezaji wa sera Bali kutafuta kukamata na kuzuia kasi ya CHADEMA. Kibaya wanatumia old fashion management wakati CHADEMA ikijipanga scientifically. Mtatukana mtarusha mabomu mtatumia policcm na green guard lakini mpakato ni lazima mnafungwa tano bila
 
sera nyepesi za cdm zinazidi kuwateka vijana wavivu

Endelea kuamini hivyo imani rahic na akili ndogo haziwez kuendelea kutawala akili kubwa. It shows how u are real tired and ready to loose. Mwisho wa akili ndogo kutawala kubwa ndo huo. Mmetumia hela za meno ya tembo na ufisadi lakini kukaa ni lazima
 
Endelea kuamini hivyo imani rahic na akili ndogo haziwez kuendelea kutawala akili kubwa. It shows how u are real tired and ready to loose. Mwisho wa akili ndogo kutawala kubwa ndo huo. Mmetumia hela za meno ya tembo na ufisadi lakini kukaa ni lazima
Kubalini kwamba mtapakatwa sana tu siku za usoni
 
Mkuu CHIJANYE, kwanza hongera na poleni sana kwa magumu mliyopitia hadi kufikia ushindi.

Nakuomba litendee haki jukwaa kwa kutuwekea "manamba" ya ushindi kama inawezekana, ili tufanye tathimini halisi.

Alafu (samahani) chuo hiki kipo pande gani maana sio wote tunaelewa. Asante.

Peopleeeeees.......

STIDE.
 
Naona Ma CheCheMee wakishindwa wao ni kutukana ili jioni wapokee elfu Saba pale Lumumba
 
Back
Top Bottom