ibilisi ccm,polisiccm,tbccm,cufccm,nccrccm,tlpccm,adccm,cckccm.
Watakaalia sana hata watukane gwanda ndo habari ya mjini na vijijinihuu usenge unaonyesha jinsi gan mlivyo wabinafsi na kwa stail ya kuona nyie ndiyo wapinzani pekee, mtakuwa wapinzani milele.
mpaka leo hamjatuambia, hivi mbinu za kujitoa muhanga mmejifunza wapi!!! IRGUN au HAMAS?????Mikono na Mioyo ya Gamba inanuka damu ... ya wa hanga Mwangosi, Dr Uli, maumivu na vilema wa arusha, iringa, mtwara ... hakika mtamtambua Mungu tunaye anza na kumaliza naye ... subirini huu ni mwanzo
Chadema imezidi kuonesha kukubalika vyuoni baada ya matokeo ya Uchaguzi wa Rais Serikali ya wanafunzi Taasi ya Ustawi wa Jamii kumwangusha vibaya sana kada wa CCM na UVCCM pamoja na nguvu ya chama tawala na mahela Yao machafu. Watu wameamua kusema kwa sauti zao wenyewe. Kama kawaida yetu Huwa Tunaanza na Mungu na Kumaliza na Mungu. Na kilicho mwangusha kada wa Magamba ni Ile baada ya watu kujua Ana kadi za CHECHEMEE na Jumuhiya zake. SAUTI YA MUNGU NDIYO YA WATU. Watu wakakamavu na watafuta maendeleo wanapiga Gwanda. VIVA USTAWI WA JAMII Kwa kuimarisha umoja na kudhihirisha kuwa Magamba hayana nafasi. Tumpe nguvu rais wetu tuchape kazi
Mshindi ni Chaki kwa kura 513 akifuatiwa na Nyakiha kwa kura 446 ila sijapata za watatu nikishafika eneo la tukio notaweka wa tatu. Kazi ilikuwa kuzilinda kuraMkuu shukran kwa taarifa....................... lakini ungetuwekea na idadi ya kura humu kwa kila mgombea, majina yao na jina la mshindi
Mkuu sahihisha hapo kwenye bold,ni kuvua magamba yao yanayonuka damu za watanzania wasokuwa na hatia yoyote!!Yaani Damu za watu zitawasaliti CCM na kama walikataa wenyewe kuyavua magwanda sasa wanavuliwa kwa nguvu za umma yaani peoples power. This is what M4C Entails
Nikuvua Magamba nilikosea sorry kwa niliowakwaza ni kosa la kawaidaMkuu sahihisha hapo kwenye bold,ni kuvua magamba yao yanayonuka damu za watanzania wasokuwa na hatia yoyote!!