CHADEMA yazidi kung'ara Arusha

Nshonzi

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
3,057
1,882
Wadau, amani iwe kwenu,

Nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na CCM kuvunja nguvu za CHADEMA kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lakini 18.2.2017 CHADEMA mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lakini watanzania wengi bado wana imani naye.

Mungu mmbariki Mh. Lema na CHADEMA.
 
Wadau amani iwe kwenu,nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kabwa zinazofanywa na ccm kuvunja nguvu za cdm kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lkn 18.2.2017 cdm mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lkn watanzania wengi bado wana imani naye. Mungu mmbariki Mh Lema na cdm.

Haijawahi kufifia huko mkuu

Wanawashangaa hata hao kijani
 
Wadau, amani iwe kwenu,

Nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na CCM kuvunja nguvu za CHADEMA kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lakini 18.2.2017 CHADEMA mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lakini watanzania wengi bado wana imani naye.

Mungu mmbariki Mh. Lema na CHADEMA.
Kutoka Kenya?
 
Chadema kinaweza kuwa chama cha kusajili walio temwa upande mwingine kama ni hivyo basis tusahau mawazo mapya na maendeleo
 
Wadau, amani iwe kwenu,

Nipo mjini Arusha pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na CCM kuvunja nguvu za CHADEMA kwa vitimbi vingi kwa kutumia nguvu za dola lakini 18.2.2017 CHADEMA mkoani inawapokea wanachama wapya 1235 kutoka vyama vingine. Lema yupo ndani lakini watanzania wengi bado wana imani naye.

Mungu mmbariki Mh. Lema na CHADEMA.
Asante sana mkuu kwa kutujuza habari njema za ukombozi wa nchi yetu
 
Na wewe ni Mgeni Katika siasa? kwani CHADEMA kuongeza Wanachama ARUSHA ni kipi Kigeni hapo sasa. Hiyo ni sawa na kuchukua Fedha zako mfuko wa kushoto na Kuzihamisha mfuko wa Kulia.
 
Makosa yale yale mnafanyaàaa.
Kama ni kweli hayo si yale makapi yalitemwa ccm juzi kwa kukosa maadili??
Yaaani nyinyi nikuokoteza tuuu jamani waende tuuu.
Ila kipigo cha umbwa mwizi midomo juu 2020 msije mkasema ccm wamewaibia kura sawa???
 
Back
Top Bottom