CHADEMA yazidi kumeguka...!

huyo katibu mwenezi mwenyewe hata hajulikani, na ungeweka idadi ya hao wanachama wengine, pia jaribu kulielewa kwa umakini neno pigo lina maana gani.
 
Mkuu waswahili walisema ngoja ngoja yaumiza matumbo hiyo soon itafika lini?
Naisubiri kwa shauku kama ayala ayaoneavyo shauku maji ya mto

acha kujifariji,Mungu hujibu kwa wakati na si mda mrefu utakuwa korokoroni mwanaizaya wewe
 
Hodi humu naona misukule ya kibwetere mmewahi kweli hapa
Safi sana nitawatoa povu sn
 
Juliana una roho ngumu kama hawala yako Mwigulu!! Sikutegemea kama ungerudi kujibu utumbo wako hapa!! Kumbe ndo maana watu wanakuhusisha na mauaji Shonza!!!!
 
Siku hizi umeanza kujitongozesha kwa nguvu, ina maana Chemba hakufikishi kileleni?
 
Kuna tetesi ziko hapa Lumumba kuwa Chemba amekupiga chini na ndio maana US ameenda na shosti wako Stella Mwampamba kutokana na unukaji wako wa pussy... hivi ni kweli au wasiopenda mapenzi yenu wanakupakazia?
 
Hakuna news hapa....potezeaaaa...ukawajibike...!! People's sssssss
 
mdogo wangu shoza nakushauri tu! Usikubali kuketi barazani pa wenye mizaa ili upatte heri zake MUNGU. Am ant u shoza.
 
Wakati mwingine CDM acheni kuandika pumba mnaandika sana pumba kwenye hii forum......mnjaribu kuaminisha watu kuwa CCM inakufa 2015...poleni mtakufa nyie
 


hivi kuna wanasiasa makini wanaona kuchumhamisha mtu toka chama kingine nii mtajiii???!! Kweli chadema kimewashika vibaya mpaka mkipata mhama chama mnafana sherehee... Vipi yale maneno ya nape kuwa wanaohama chama ni oil chafuuu?? Ccm ni chama kongwe na kikubwa barani afrika na kwa kiongozi yeyote wa chama hichi kushangilia mtu toka upinzani kuhamia kwake ni ufinyu wa fikra...
Tukiangalliaa idaidi ya watanzania ni takribani milioni arobaini ambao ni wanachama wa vyama vya siasa hwafiki milioni sabaa sasa hao wengine wako wapiii?? Chama kinaweza kikaanzishwa leo ni kikapata wanchama mara mbili ya waliopo ccm na vyama vya upinzani bila kumhamisha haata mtu mmoja chama... Sasa anayeshangilia kuokota mwanachama mmoja toka chama kingine anajua heasabu?!!

Je huyo mwanachama angetoka ccm kwenda cadema ungesemaje?!!

Kama wewe ni kijana unatuangusha sanaa na huo usomi wako sijui unautumia kufanyaia nini!!
 
wewe dada huna jipya ushatumiwa kama mipira ya kiume upo una ngaa tu macho,nyie ndio wezi wa maisha maana amjulikani mnafanya kazi gani ili mpate mkatee wenu wa kila siku ni udalali wa siasa tu,asijefanya kazi na asile siasa imewashinda kazi ni ku post vitu visivyo na maana,kwa taarifa hata hao UVCCM hawawataki hata kuwasika subirini
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Wakati CCM wakijivunia kumpata Maja, mwanachama wa kawaida ambaye amewadanganya kuwa ni kiongozi wa Chadema, Chadema imevuna Wanachama 689, kati yao 246 kutoka CCM katika Operesheni "Zinduka mabadiliko ni sasa" . Iliyoendeshwa katika jimbo la Kibaha mjini. Wewe mpotea njia waulize magamba wenzako wakupe taarifa sahihi usiwe unakurupuka kama KICHAA.......
 
Huyo haitaji maendeleo ya umma, anataka maendeleo yake binafsi. Alidhan akiwa CDM atapata vijipesa mnavyopewa na CCM ndio maana kahamia huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…