Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,609
haishangazi watu wenye akili fupi kukimblia ccm! lakini pia njaa pamoja na ufupi wa akili waliyo jengewa na hiki chama cha kifisadi ndiyo kina fanya wahangaike wali wasijue wanachofanyaHii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

Mbona watu wengi sana wamekula fedha za madawa kule chadema lakini wamepuuza wakarudi zao kwenye vyama vyao vya asili.ninauhakika watu kibao watakula sana fedha ya kifisadi lakini kamwe hawatatoa kula kwa wafilisi nchi! na watu wengine hujifanya kujiunga na chama cha kifisadi ili mambo yao yaende poa lakini wala huko hawako, na ukweli wa jambo hil utaonekana mapema sana, na kipindi hiki uchakachuaji wa matokeo utakuwa mgumu sana...maana tumechoka kuchekea nyani
.......
.......................................................!!!!!!!!!
Haba na hujaza kibaba na polepole ndiyo mwendo.Hilo ni kama tone tu kati ya wale waliokwisha jitambua!! Kuna kipindi cha mwaka 2011 na 2012 ilikuwa kama mvua ya wanachama kujiunga na CDM!! CDM hatuna hofu yoyote na hao mnaowanunua kwa gharama kubwa!! Tegemeo la CDM ni kuandikisha wapiga kura hasa kwa vijana wengi ndo utaona moto moto moto!!
nimekuelewa mkuu, maana mi nabisha kwa uzalendo wangu alkin wewe uanauhakika wa buku saba, ushindi wa kwako!Mbona watu wengi sana wamekula fedha za madawa kule chadema lakini wamepuuza wakarudi zao kwenye vyama vyao vya asili.