CHADEMA Yazidi Kujikoroga mwaka 2013

CHADEMA Yazidi Kujikoroga mwaka 2013

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,200
CHADEMA imeanza mwaka 2013 pasipo mashiko wala dira ya waendako. Hali hii ni faida kwa watanzania kwa vile imetupa fursa ya kupata kutambua uwezo wa viongozi wa CHADEMA kuhusiana na maendeleo ya nchi yetu.
Leo ni siku ya tano, Januari 2013 viongozi wao wamekuja na kauli zinazothibitisha ufinyu na uwezo mdogo waliokuwa nao;-
1. Kamati ya Utendaji CHADEMA iliirukia HUTOBA ya Rais JK kuwa amefanya kosa kutoa ratiba ya mchakato wa kuelekea KATIBA MPYA; leo wameumbuliwa na Jaji Warioba.
2. Mbowe katoa kauli ya kumuunga mkono Dr.Slaa kuwa mgombea wa Urais kupitia chama chao 2015; kauli ambayo imethibitisha ukosefu wa demokrasia ndani ya chama chao pamoja na kuwepo kwa mwenyekiti asiyejua mipaka ya kutoa kauli.
3. Leo Kikao cha BAVICHA kimekuja na fungua mwaka ya KUUNGA MKONO Madai ya Watu wa Mtwara yanayoonyesha kuvunja UTAIFA;

Hiki chama hakina muono wa mbali badala yake wamekuwa hodari wa kurukia hoja kila kukicha!
 
Umeshatenda kazi yako, tulia ulipwe dada
 
Heri ya mwaka mpya unaweza pata chakula

7332908-funny-shit-with-fly.jpg
 
...haya tumekusikia,kunajingine ulilotumwa kulisema labda utakuwa umelisahau?..."haya mambo ya kipuuzi yanakupunguzia siku za kuishi"...
 
nimependa point namba 2,wafute neno "DEMOKRASIA" Kiwe chama cha Maendeleo na Fikra sahihi za Mbowe(Chamafisambo)! Chadema ni Kampuni ya Uko wa Kichaga hawana Demokrasia!
 
Heri ya mwaka mpya unaweza pata chakula

Hapo ulipo umetulia kutokana na malezi bora yaliasisiwa na CCM. Kiongozi wako Mbowe, ametoa ushuhuda kuhusiana na UONGOZI ULIOTUKUKA WA CCM Kupitia Rais wetu JK
 
nimependa point namba 2,wafute neno "DEMOKRASIA" Kiwe chama cha Maendeleo na Fikra sahihi za Mbowe(Chafisambo)! Chadema ni Kampuni ya Uko wa Kichaga hawana Demokrasia!

Ukweli mtupu ingawa utapokelewa na matusi kutoka kwa watu walikunywa maji ya bendera ya CHAFISAMBO kupitia Chagga Development Manipulation
 
Mrs.Mwigulu Mchemba tumekusoma...
 
Komredi MAFILILI,
Naona leo umeibuka na ID hii. Hongera sana. Naona umeshamtumikia Kafiri, umepata ujira wako.

Sisi ambao ni kimbilio la wanyonge; wacha tuendelee kuwatumikia wananchi.
 
Last edited by a moderator:
Mrs.Mwigulu Mchemba tumekusoma...

Wake wa Viongozi mnajuana ID zenu,vipi Babu hajambo,nasikia utagombea Ubunge jimbo la Kawe? Chezea Halima wewe? Au unajipa moyo na ile wanawake mkiwezeshwa mnaweza?
 
Komredi MAFILILI,
Naona leo umeibuka na ID hii. Hongera sana. Naona umeshamtumikia Kafiri, umepata ujira wako.

Sisi ambao ni kimbilio la wanyonge; wacha tuendelee kuwatumikia wananchi.

SEBM wanyonge wakukimbilie wewe? Wanyonge wa jinsia ya kike watapona kweli! Wanyonge msikimbilie huyu jamaa anaitwa SEBM ata wa "do"
 
Last edited by a moderator:
Mtu wangu naona akili yako haiko sawa umetoa mada isiyoeleweka haíitaji uwezo mkubwa sana kuelewa kwamba haufai ww hata mtoto mdogo ukipewa umlee atakuwa mwehu
 
Watz ivi tutaelimika lini? tutabaki kudharauliwa hadi lini? Watz embu tujipange upya tujikomboe bila hivyo watoto wetu na wajukuu zetu watauana mno. Na mbele ya muumba tutajibu maana najua hapa kuna watu wako kazini ila siku ya mwisho utajibu.
nimependa point namba 2,wafute neno "DEMOKRASIA" Kiwe chama cha Maendeleo na Fikra sahihi za Mbowe(Chamafisambo)! Chadema ni Kampuni ya Uko wa Kichaga hawana Demokrasia!
 
CHADEMA imeanza mwaka 2013 pasipo mashiko wala dira ya waendako. Hali hii ni faida kwa watanzania kwa vile imetupa fursa ya kupata kutambua uwezo wa viongozi wa CHADEMA kuhusiana na maendeleo ya nchi yetu.
Leo ni siku ya tano, Januari 2013 viongozi wao wamekuja na kauli zinazothibitisha ufinyu na uwezo mdogo waliokuwa nao;-
1. Kamati ya Utendaji CHADEMA iliirukia HUTOBA ya Rais JK kuwa amefanya kosa kutoa ratiba ya mchakato wa kuelekea KATIBA MPYA; leo wameumbuliwa na Jaji Warioba.
2. Mbowe katoa kauli ya kumuunga mkono Dr.Slaa kuwa mgombea wa Urais kupitia chama chao 2015; kauli ambayo imethibitisha ukosefu wa demokrasia ndani ya chama chao pamoja na kuwepo kwa mwenyekiti asiyejua mipaka ya kutoa kauli.
3. Leo Kikao cha BAVICHA kimekuja na fungua mwaka ya KUUNGA MKONO Madai ya Watu wa Mtwara yanayoonyesha kuvunja UTAIFA;

Hiki chama hakina muono wa mbali badala yake wamekuwa hodari wa kurukia hoja kila kukicha!

WEwajua vizuri CDM ielekeako....! naona kweli UME KHORHOGHEKA. mpaka unaona UMEME-GESI kufuliwa MTWARA ni kuvunja U-TAIFA ila kuchota gesi ije DAR na baadae BAGAMOYO ndo U-taifa?,SONGO SONGO mmewapa nin?,mwadui?,buzwagi....ACHA UKILAZA.
 
SEBM wanyonge wakukimbilie wewe? Wanyonge wa jinsia ya kike watapona kweli! Wanyonge msikimbilie huyu jamaa anaitwa SEBM ata wa "do"

Mkuu Mlengo wa Kati,

Turudi kwenye mada ya msingi. Mada ya Komredi MAFILILI na shutuma zake 3 kwa Chama kinachowatumikia wanyonge; Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
 
Last edited by a moderator:
Wake wa Viongozi mnajuana ID zenu,vipi Babu hajambo,nasikia utagombea Ubunge jimbo la Kawe? Chezea Halima wewe? Au unajipa moyo na ile wanawake mkiwezeshwa mnaweza?
we ndio mke mdogo ama mkubwa? naona mult IDs zinawatesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom