CHADEMA yazidi kubomoka

CHADEMA yazidi kubomoka

MASIGA

Senior Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
130
Reaction score
281
i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

#NyumbaniKumenoga
 
Vyama vya siasa ni itikadi philosophy na sera ndo zinazo vuta wanachama kujiunga kwahiyo chama hakiwezi kufa kwajiri ya mwana chama kukuhama wakati itkadi ya chama iko palepale, hata hakihama Mbowe chama kitabaki na wanachama wapya wataibuka. Kuna mifuano mingi tu.
 
Bora niamini upinzani wa TLP kuliko huu wa Chadema.

"Chadema ni mpango tu ulifanyika ili kukuza Upinzani na baadae waushushe ile kisije kupatikana chama cha kupambana na CCM na kila siku itakuwa hivyo"
 
62B2FD8A-8CBE-4C60-9A94-C91760709766.gif
 
i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

#NyumbaniKumenoga
Hizi siyo habari tena umeshazizoea tuendelee na mambo ya msingi kwani hizi ni habari za hasara tupu. Badala ya kutumia mabilioni kujenga daraja la wami linalotishia uhai na maisha ya watu tumekazana na chaguzi za marudio ''kuwachagua'' waliojiuzulu
 
i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

#NyumbaniKumenoga
Acacia yapunguza wafanyakazi tena
pic+acasia.jpg

Kwa ufupi
Hili ni punguzo la pili tangu Serikali ilipozuia usafirishaji wa makinikia Machi 2017.
By Samuel Tindwa, Mwananchi. stindwa@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, imepunguza wafanyakazi, kwa kile ilichokiita mabadiliko ya kiutawala.
Pia imetaja sababu nyingine za kupunguza wafanyakazi kuwa ni katika mpango wa kupunguza gharama wakati huu ambapo serikali imezuia usafirishwaji wa mchanga wa madini.
Hii ni mara ya pili kwa Acacia kupunguza wafanyakazi tangu Serikali ilipozuia usafirishaji wa makinikia.
Serikali ilizuia Acacia kusafirisha makinikia, Machi mwaka jana baada ya agizo la Rais John Magufuli kutaka kuhakikisha serikali inapata mapato ya kutosha katika shughuli za uchimbaji wa madini.
Zuio hilo ambalo mpaka sasa bado halijaondolewa, limesababisha mapato ya kampuni hiyo mwaka 2017 kupungua kwa asilimia 29 ukilinganisha na 2016.
Akizungumza na Mwananchi leo Septemba 5, Mkurugenzi wa Acacia, Assa Mwaipopo amesema tangazo la punguzo la wafanyakazi ni la kweli.
“Tangazo ni la kweli, ninashangaa tu umepataje habari hizo wakati liliwekwa kwa ajili ya watu wa ndani tu,” amesema.
Alipoulizwa kuhusu idadi ya wafanyakazi watakaopunguzwa, Mwaipopo hakutaka kufafanua.
Hata hivyo tangazo hilo limefafanua kuwa upunguzaji huo utafuata taratibu za sheria za kazi na majadiliano baina ya wafanyakazi na uongozi.

https://om.forgeofempires.com/foe/?...d=nationmediagroup-mwananchinews&bid=93765192
 
Vichaa wanakimbilia kwa vichaa wenzao.. Hiiiiiiiii (in tutsi slang)
i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

#NyumbaniKumenoga
 
Vyama vya siasa ni itikadi philosophy na sera ndo zinazo vuta wanachama kujiunga kwahiyo chama hakiwezi kufa kwajiri ya mwana chama kukuhama wakati itkadi ya chama iko palepale, hata hakihama Mbowe chama kitabaki na wanachama wapya wataibuka. Kuna mifuano mingi tu.
Itikadi ya chama ni ipi?
 
Sasa kama huyo mchumia tumbo atakuwa mkurugenzi wa mafunzo Na Benson Kigaila atakuwa Nani Sasa?Hizi story za abunuwasi utazipata fisiem tu maana wapo vichaa wanajifurahisha wakiingozwa Na kichaa mkuu...
 
i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

#NyumbaniKumenoga
Hivi kama huyo tapeli alikuwa Mkurugenzi wa Mafunzo na BENSON KIGAILLA ANAFANYA NINI CHADEMA ?

Hakika hela ya ccm inaliwa kijinga sana !
 
Hata Kigaila ipo Siku tutamchukua tu!
 
Hivi kama huyo tapeli alikuwa Mkurugenzi wa Mafunzo na BENSON KIGAILLA ANAFANYA NINI CHADEMA ?

Hakika hela ya ccm inaliwa kijinga sana !
Joachim Mbowe alikuwa ni Takataka pia?
 
Back
Top Bottom