CHADEMA yawatia kiwewe CCM mkoa wa Mara

CHADEMA yawatia kiwewe CCM mkoa wa Mara

Mbona hilo ni jambo la kawaida sana mkuu?hivi wewe unajiona upo huru kweli?
I mean fikra huru, unaweza ukawa utumwani lakini bado ukawa na fikra huru, we inawezekana bado upo utumwani na fikra za kitumwa vilevile.
 
I mean fikra huru, unaweza ukawa utumwani lakini bado ukawa na fikra huru, we inawezekana bado upo utumwani na fikra za kitumwa vilevile.
Kwa maana yako wewe upo huru kifikra siyo? Naamini ukiwa ndani ya ccm bado unakuwa utumwani
 
wamechanganyikiwa hata mawaziri, waziri anachukua jengo zima la machinga kutoka halmashauri anamkabidhi mkuu wa mkoa?! wanacheza ngoma wasio itarajia lazima wajigonge tu.
 
Mkuu ndio hapo nasema kuwa cdm ni chama dume,kinawakimbiza puta iwe mvua au jua wao ni kuhenya tu
 
Kwa maana yako wewe upo huru kifikra siyo? Naamini ukiwa ndani ya ccm bado unakuwa utumwani
Mi sina chama wala si mwanaitikadi wa Imani , ingawa naamini Mungu yupo, njoo nikupe shule uwe na fikra huru.
 
Mi sina chama wala si mwanaitikadi wa Imani , ingawa naamini Mungu yupo, njoo nikupe shule uwe na fikra huru.
Kwa haya mawazo yako ni heri nilale juu ya paa kuliko kulala kwenye nyumba ya mwana ccm,kama una uelewa utanielewa
 
Hakika ccm nambari one , kutoka kushona viatu kwa sindano ya magunia hadi kuwa bilionea wa kimataifa !
Hiyo ndio ccm wenyewe wanasemaga kuwa ccm ina wenyewe, na sasa wenyewe wameanza kujulikana
 
Kufuatia moto wa CHADEMA kuwa mkali na hivyo kupelekea wananchi wengi kuipenda CHADEMA na kuisusa CCM,wanaccm kupitia jumuiya ya wazazi mkoa wa Mara wameanza kufanya kwa kukurupuka bila kujali mipaka yao ya kiuongozi na kuwatishia watumishi wa taasisi za kiserikali kuwa jumuiya hiyo ya wazazi ya CCM itaanza kuwachukulia hatua hao wafanyakazi.

Hivi jumuiya ya wazazi ya CCM imepata wapi mandate ya kuwafukuza watumishi wa umma?

Naamini CHADEMA imeanza kuwatia kiwewe hao CCM.

Hongereni sana wanachadema na UKAWA kwa ujumla, kazeni uzi hivyo hivyo
mh.. kweli ni zaidi ya zombi topic vs contents mbingu na ardhi nadhani hata mbowe anasikitika wew kuwa mmoja wa wafuasi wake
 
katika watu ambao ni hasara kwa familia mpaka chama chako ni wewe Mmawia..

hufanani na siasa bali kuuza nyanya au kumsaidia kamanda kuchunga mifugo
 
mh.. kweli ni zaidi ya zombi topic vs contents mbingu na ardhi nadhani hata mbowe anasikitika wew kuwa mmoja wa wafuasi wake
Naona huo ujumbe umekuingia na kujua nguvu ya cdm
 
katika watu ambao ni hasara kwa familia mpaka chama chako ni wewe Mmawia..

hufanani na siasa bali kuuza nyanya au kumsaidia kamanda kuchunga mifugo
Tafadhali naomba ujibu kwa hoja wacha kuruka ruka kama sungura, tangu lini na kwa kutumia vigezo gani jumuiya ya wazazi ya ccm ikawa na uwezo wa kuwawajibisha watumishi wa umma?cdm itawaendesha kama kiberenge
 
Lugumi eti ajambo eti kaenda kununua tivii za vidole anazodaiwa na kamati ya bunge eti soo ndo litakuwa limeisha. Eti muuza ulembo zamani kule musoma kwetu kanyamaza ataki kutoa tamko la tivii 108 kwa 14 kwa 02. Eti yeye anasubiri mpaka raisi wa mioyo yetu aseme ndo aibuke mzazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom