Hawawezi kuua Chadema kwa sababu Chadema Ni Roho,ila wanaweza kuua wanachadema.
Chadema Ni Roho na Roho humuingia mtu ndani,na Roho haionekani.
Kuna Roho Mtakatifu,hii Ni kubwa zaidi na hi ipo upande wa Dini.
Sasa Chadema Ni Roho wa Haki na hi ipo kwenye siasa.
Nakuhakikishia Kuna Wana CCM wengi Sana wanaipenda Chadema kwa sababu Hii Roho ya Chadema imewaingia,ila wapo CCM tu kimaslahi na Usalama wao.
Ila daa kama CDM, imeshindikana kuuawa 2015-2020,na hadi leo bado watu wanawaelewa!! Muiache tu, kwani COMBINATION YA CCM, POLISI, MSAJIRI, NA VYAMA VINGINE, ilikuwa sio ndogo lakini wameivuka!!!acheni tu hadi mungu atakavyo amua vinginenevyo
10 Julai 2020 Chadema Kanda Nyanda za Juu Kusini
Tunduma, Tanzania
CHADEMA kushinda ubunge na udiwani 2020 ni lazima kutokana na wananchi kukubali sera zinazo wagusa za Maendeleo ya Watu, Demokrasia, Ushirikishaji Umma ktk maamuzi ya maendeleo, uhuru na furaha ya kuishi