Uchaguzi 2020 CHADEMA yawasha moto Mbeya Mjini, mjumbe wa kamati Kuu aanza ziara ya kutoa semina kata zote, hii hapa ni kata ya Nzovwe

Julai 2020
Mbeya Tanzania

'Mahakama ya Wananchi' , Tulia Vs. Sugu


6 Julai 2020
Mbeya, Tanzania

CCM MBEYA MJINI YAPIGA MARUFUKU MABANGO, MBWEMBWE, WAPAMBE MITANDAONI
Katika mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM majina yote ya wagombea CCM Mbeya kurejeshwa, maana tayari CCM wameanza kuchafuana wenyewe kwa wenyewe kuelekea uteuzi ndani ya chama cha CCM Mpya. Hivyo itakuwa ngumu kuwasafisha wakienda kupambana na wagombea wa vyama vingine ktk chaguzi za wana Mbeya kupata wabunge na madiwani. Kura za maoni kwa watia nia CCM Mbeya zitatangazwa kwa kutumia lugha laini aliyeongoza badala ya aliyeshinda ili kulinda mshikamano na kuondoa makundi ndani ya CCM Mbeya.

Source : MbeyaYetuOnlineTV

Woga wazidi kuikamata CCM sasa kufanya mambo yao kimya kimya maana aibu ya kisiasa inaweza kuwakumba wanaoonesha nia kugombea ubunge na udiwani
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 

haya ndo mapokezi??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,

upande wa pili cheki jamaa uku alienda kukagua tu mradi, yaani alipita tu mara moja
 
10 Julai 2020
Dodoma, Tanzania

Nyufa ndani ya CCM, Makundi yaibuka

Tayari wana CCM ya Zamani wakiwakilishwa na MNEC toka Momba Songwe amefikisha ujumbe juu ya kutoridhika na CCM Mpya kuwasahau waliokipigania chama 2010 - 2015

 
Waliotarajia CHADEMA iwe imekufa,watasubiri sana.
Iko hivi Mkuu SS wataweza kuwaua Wana Chadema mmojammoja lakini hawawezi kuiua Chadema,kwa maana Chadema Ni Roho,na Roho hua inaelea hewani tu,haionekani inamwingia mtu tu.Kwa kifupi Chadema Ni Roho ya Kisiasa.
"Chadema is good political spirit"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…