Chadema yawasha moto jangwani

Chadema yawasha moto jangwani

Ngolinda

Senior Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
125
Reaction score
25
Haya ni baadhi ya matukio yaliyojiri katika ufunguzi wa kampeni za CHADEMA pale Jangwani:
Jamaa wamefunika......Marin aokolewa katikati ya makucha ya wananchi wenye hasira. follow link for more details.....source:wavuti - Habari
 
Unajua usiposhukuru utakuwa huna adabu; Mkuu tunashukuru sana kwa hizi picha. Plz ukiwa na uwezo zaidi tupe news bro.
 
HAPO HAPO JANGWANI SLAA AOA MKE MWINGINE....AMUACHA MKEWE WALIYEKUWA NAYE......JE HAYA Yasemwayo yana ukweli au majungu ya aliyenihabarisha?
 
mafisadi kwa udaku na majungu ni kama pete na kidole. Yaani huyu anaandika kama Sophia Simba
 
HAPO HAPO JANGWANI SLAA AOA MKE MWINGINE....AMUACHA MKEWE WALIYEKUWA NAYE......JE HAYA Yasemwayo yana ukweli au majungu ya aliyenihabarisha?

Mwanaume kuwa mbea haipendezi. Au ndiyo sera ya chama chenu?
 
Back
Top Bottom