mashambani kwao
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 370
- 56
makamanda wamepita jioni hii hapa ikwiriri.
Haaaaa
Kwa hiyo Wachaga na Chama Chenu mmeamua kutafuta kutafuta eneo la kutawala Mtwara!!!!!!
Kama wew ni mmakonde basi kichwa chako ni kigumu..... CDM ni zaidi na uijuavyo. , nimeishi MOshi 4 yrs........ Ni hatari!!!!!
Mfano, huwezi kupata eneo la kujenga pale hata ukiwa bilionea la kutupwa, Mwalimu Nyerere aliwajuwa mapemaaaaaa
Mmechemka, hii ni ngome ya CCM !!!!!! Tangu lini Mmakonde aolewe na Mchaga???
Mmechemka, hii ni ngome ya CCM !!!!!! Tangu lini Mmakonde aolewe na Mchaga???
Imetulia saaana..! Tunawasubiri kwa hamu kuu, karibuni makamanda, Mtwara ni jimbo letu. Tuna kazi ndogo tu ya kuivuruga kambi ya CUF Tandahimba, Newala na Tunduru, otherwise mambo huku ni shwari.
Mkuu mada ya Pasco Jr Ngumi ni ya kichovu ile mbaya. Ama kweli nyani haoni kundule..! Mtu unapodai kwamba CDM ni chama cha kikabila halafu wakati huo huo unataka watu wengine, kwa maana ya makabila mengine, wasikikubali, huoni kama wewe mwenyewe mtazamo wako ni kuwabagua watu kwa makabila yao? Kama CDM ingekuwa ni ya kikabila si wangetegemea kura za wachaga tu?, mbona wanazunguka kutafuta support ya watanzania bila kujali makabila yao? Hayo maneno ya Pascal ni sawa na maneno ya mfa maji..!Mbona hiyo singo ilishapitwa na wakati, si uje na nyingine mshkaji angalau yaweza kusikilizwa kwa muda. Magamba bana hakuna strategy zaidi ya majungu, kweli nimeamini hapo mlipo hamtoki hata iweje maana badala ya kuwajibika mmekalia majungu tu.
Tunakumbushi mlichokisema na end result yake! na mtwara itakuwa hivyo hivyo...
Kwa watu wanaolewa mwenendo wa CDM na uducteta uliopo, hawawezi kukishobokea CDM.
Am happy watu wa Pwani ni waelewa na wanajua kupima mambo kabla ya kukurupukia vitu!