CHADEMA yawa gumzo Marekani, vua gamba vaa gwanda!!

I applaud CHADEMA for forging a somewhat credible opposition, but won't compromise my independency.
 
You guyz mmenisisimua sana, wewe Linda leta hiyo sample ya gwanda maana la aina yake nataka niwe wa kwanza kutoka nayo hapa bongo kabla hawajaniwahi.

Choice yako kali.....hilo gwanda litapata soko kubwa ndani na nje ya Tanzania kwa wapenzi na wanachama wa CDM.... hata magamba watalimezea mate.
 
Bei yake mtaiweza $100 kila Gwanda moja Matola, anapata $5 kila Gwanda kama dalali.
Kwa akili hizi za makalioni ndio maana mkauza mpaka Twiga ndio maana kila mtu mnadhani naye ni Mzee wa10%. nyinyi ni maiti hai.
 
Back
Top Bottom