Chadema yaunguruma Dodoma; Operesheni Sangara yapaa!

CHADEMA sasa kuhesabu miezi ,wiki, sku, saa, dakika, sekunde, kuongoza bunge la jamuhuri ya muungano (TANZANIA) ni baada ya kubainika ya kuwa asilimia 69, ya wanawake waliyo kuwa wakiipigia ccm kura kubadili mtazamo wao na hii ni kutokana na opresheni sangara inayo ongozwa na kamanda mbowe, na kurugenzi zake kama , mrema , chitanda , msafiri, regia mtema , halima mdee, na wengine wengi, kukubalika vilivyo tena kwa usibitisho wa dhahiri, wabunge wa ccm wengi wao kwasasa wanatazama jinsi gani ya kuingia chadema ilikutetea viti vyao, ilala kwa CHADEMA wasema mafisadi hawatapata nafasi kupitia CHADEMA , kazi ni moja kuwaondoa kabisa kwenye ulingo wa kisiasa

Mkuu napinda bunge la mwaka huu liwe na nguvu na upinzania wa uhakika but sio ule wa kenya kuchapana makonde, i like the sprit of CHADEMA, ili cjui kama itafika au kuzidi 69% unaweza kuzibitisha kwa hilo
 
kamanda musiwe na wasiwasi CHADEMA ni chama chene watu wenye busara na wahakikishia UMMA wa WATANZANIA kuwa CHADEMA, kinaongozwa kwa ni dhamu ya hali ya juu sana na hata kikiingia BUNGENI , kwa 69% nidhamu yake itabaki pale pale kutokana na mfumo madhubuti uliyopo ndani ya chama, tuiunge mkono kwa kuchchangia, mawazo na kushiriki katika harakati zake moja kw amoja , imeanza na nyie ifateni kwa vitendo
 
CHADEMA sasa kuhesabu miezi ,wiki, sku, saa, dakika, sekunde, kuongoza bunge la jamuhuri ya muungano (TANZANIA) ni baada ya kubainika ya kuwa asilimia 69, ya wanawake waliyo kuwa wakiipigia ccm kura kubadili mtazamo wao na hii ni kutokana na opresheni sangara inayo ongozwa na kamanda mbowe, na kurugenzi zake kama , mrema , chitanda , msafiri, regia mtema , halima mdee, na wengine wengi, kukubalika vilivyo tena kwa usibitisho wa dhahiri, wabunge wa ccm wengi wao kwasasa wanatazama jinsi gani ya kuingia chadema ilikutetea viti vyao, ilala kwa CHADEMA wasema mafisadi hawatapata nafasi kupitia CHADEMA , kazi ni moja kuwaondoa kabisa kwenye ulingo wa kisiasa

Ah, wapi !!!!! Mnajipa matumaini mfu, mtafulia tu wewe subiri uone.
 
Ah, wapi !!!!! Mnajipa matumaini mfu, mtafulia tu wewe subiri uone.

Kaka sio kufulia, ingekuwa watazania wanachagua viongozi makini na sio kuchagua chama sina uakika kama cha tawala kingekuwa na wabunge wengi, but mwaka huu WaTZ akili zao zimepevuka watachagua kiongozi na sio chama.
 
usiichukulie negative... point yangu ni kwamba habari hiyo ipo gazeti moja tu!!! ni ishara tosha kwamba uenezi kwa chadema unaanza kuchoka sio kama sangara ilivyoanza!!!
there are many ways to kill a man... i was delivering the message to CHADEMA kwamba uenezi wao umeishia zero grazing... na good analysists hawawezi weka mkazo kewnye gazeti la mbowe linaposifia mbowe

Time for change is passing by!!!
kweli kamanda TUNAPASWA KUWA NA VIONGOZI STRING NASIYO VIONGOZI WA KUSINZIA BUNGENI NA WASIYO KUWA NA HOJA ZA MSINGI, BALI FITNA ,CHUKI, NA KUENDELEZA MIFARAKANO ISIYO YA LAZIMA
 
- Mkuu GS, heshima sana nyumba za tembe ndio utamaduni wetu mkoa wa Dodoma, kwa hiyo sio dalili za umasikini ila ni utamaduni tu na besides sio kazi ya mbunge au serikali kuondoa umasikini wa wananchi, ila ni wajibu wa wananchi wenyewe kujiondoa kwenye umasikini, mimi na wewe hatukuondolewa kwenye umasikini na mbuneg yoyote wala serikali,

- Wananchi wanaishi kwenye nyumba za tembe, lakini wana shule ya msingi na secondari, pamoja na zahanati, tatizo la waalimu sio la mbunge ni la taifa, mnapokwenda huko gorund zero jaribuni kuwa fair and balanced na habari zenu, maana mara kwa mara huwa zinaishia kwuasuta kwenye matokeo ya uchaguzi, huwa mna-raise expectations halafu tunaishia kuambwia kura zimeibiwa si unakumbuka Biharamulo na Busanda. Kumbuka kuna kata nyingi sana katika hili taifa ambazo hazina anything iwe shule wala zahanati, angalaa hawa wanazo.

Respect.

FMEs!

kama tembe ni tamaduni zenu,ni kwanini diwani asiheshimu tamaduni hizo?kwanini yeye aishi kwenye nyumba nzuri?na kama je nyie mkiendahuko huwa maishi kwenye nyumba hizo? naomba unisome vizur tafadhali hakuna sehemu yeyote niliyosema kwamba umaskini wao unasababishwa na mbunge,please give me a break....Kuwa na madarasa sio hoja hoja ni kuwa nashule zenye ubora mkuu,hatuzungumzii madarasa..Zahanati yao ina nesi mmoja tu hivi hata hili unalilitetea kweli wewe basi tena,nadhani hatuko kwenye boti moja la kutetea wanyonge...N kweli tulishindwa Busanda na Biharamulo lakini nadhani unakumbuka vizuri mshikemshike uliokuwepo kule...Pamoja na hayo idadi ya kura iliongezeka sana tofauti na miaka ya nyuma....Kifupi ni kuwa kazi hizi zina impact kwetu hata kama wewe huzioni..Pole sana Mkuu,ndi siasa hiyo punguza jazba.
 
Nani ??? Mbowe for presidency ??? I say NO. We are not that imature kuchagua sampuli hii bana. UBISHOO mtupu wa kumwiga Mzee Castro kwa kuvaa magwanda ya mgambo. I say NO for that DJ. Elimu......... Form VI na little banking experience na ubunge kidogo. Ah, I say NO.

Ukikasirika kanywe sumu. Mpendekezeni Mbowe muone CHADEMA itakavyoanguka kifo cha mende, I tell you.

Duu,kweli wewe bado uko nyuma.unawaza Mbowe kugombea urais,hayuko huko Mkuu..Poor you uko nchi gani usiyejua hata vinavyoendelea?
 
kama tembe ni tamaduni zenu,ni kwanini diwani asiheshimu tamaduni hizo?kwanini yeye aishi kwenye nyumba nzuri?na kama je nyie mkiendahuko huwa maishi kwenye nyumba hizo?

- Binadam wote sio sawa ndio maana thamani ya nyumba mpya ya Mwenyekiti wako wa taifa, sio sawa na yako, lakini I-tembe kama inavyoitwa ni jadi yetu, hata tukiwa na nyumba ya kisasa lazima hiyo Li-tembe liiwepo pembeni hiyo ni jadi mkuu sio umasikini ndio maana hata wenye Ngombe elfu kumi bado wamo kwenye Li-tembe, yaani uemfika mpaka huko Grounde Zero lakini ukashindwa kuuliza tu usaidiwe?

naomba unisome vizur tafadhali hakuna sehemu yeyote niliyosema kwamba umaskini wao unasababishwa na mbunge,please give me a break....

- Oooh! ahsante sana kwa hiili tupo pamoja sana hapa.

Kuwa na madarasa sio hoja hoja ni kuwa nashule zenye ubora mkuu,hatuzungumzii madarasa..Zahanati yao ina nesi mmoja tu hivi hata hili unalilitetea kweli wewe basi tena,nadhani hatuko kwenye boti moja la kutetea wanyonge...

- At-least wanazo shule na zahanati, nenda bungeni uone ripoti mkuu ni jimbo moja tu la Mtera, Tanzania ndilo lenye shule na zahanati kwenye kata zake zote 51, hii ni fact sio opinion, wanasema ni afadhali kukosa kiatu kuliko kutokwua na mguu kabisa, afadhali zipo mkuu hata kama hazina waalimu na manesi, sio sawa kutokuwepo kabisaa akija mgeni ambaye ni nesi au mwalimu atasaidia, lakini can you imagine iwe hakuna kabisaa?

N kweli tulishindwa Busanda na Biharamulo lakini nadhani unakumbuka vizuri mshikemshike uliokuwepo kule...Pamoja na hayo idadi ya kura iliongezeka sana tofauti na miaka ya nyuma....Kifupi ni kuwa kazi hizi zina impact kwetu hata kama wewe huzioni..Pole sana Mkuu,ndi siasa hiyo punguza jazba

- Mkuu wangu tuko boti moja, wote tunatka mabadiliko lakini sio yapatikane wka njia za kusema uongo, yatakuwa hayana faida, otherwise tupo pamoja sana mkuu!!

- Uwe na amani sana ndugu yangu mabadiliko yanakuja hayapo mbali sana na tupo pamoja sana!

Respect.

FMEs!
 
Vitu vingine kuvitetea ni aibu tupu kwa kweli. Yaani nyumba za tembe ni jadi kweli no way ni umaskini tu. Nani asiyependa raha jamani nililala kwenye nyumba ya tembe siku moja huko mvumi na kwa kweli hakuna jadi wala nini ni umaskini tu.

Kujifungulia nyumbani nako ni jadi du! Mimi nadhani kudumisha jadi waendelee tu kula yale matango mwitu.
 
CHADEMA yaendeleza harakati za ukombozi wa raslimali za umma dodoma, wakazi wajitokeza kwa wingi kuunga mkono, wa muahidi MBOWE wapo tayari kwa lolote litakalo tokea kwa mabaya au kwa mema mpaka ukombozi upatikane wasema raudi hii chama cha chukua chako mapema hakina nafasi, waingiwa na imani kubwa na harkati za chadema ZIKIONGOZWA NA MBOWE, wazee wasema tupo nyuma yako mwenetu tusaidie kutupatia ukombozi wa kimaendeleo na siyo chuki fitna kama tunavyo fanyiwa kwasasa,

hivi wewe mkuu mbona unapenda kuchota akili za watu?? umetumwa au?? ni wewe wewe uliyeingia juzi juzi hapa katika kikao cha NEC dodoma ukijifanya fundi mitambo na kurusha mambo ya uko live ... hivi umerudi tena na kampeni za Chadema na sangara ya huko dodoma ... na watu na heshima zao humu ndani wakakupa na wanaendelea kukupa tu ma-thanks ya nguvu ... ama kweli serious people at work!!

CCM pawaka moto Dodoma:
Wajumbe wasema Lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea.

Upande wa Lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha Lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si Lowassa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/53059-ccm-pawaka-moto-dodoma-31.html
 
Nani ??? Mbowe for presidency ??? I say NO. We are not that imature kuchagua sampuli hii bana. UBISHOO mtupu wa kumwiga Mzee Castro kwa kuvaa magwanda ya mgambo. I say NO for that DJ. Elimu......... Form VI na little banking experience na ubunge kidogo. Ah, I say NO.

Ukikasirika kanywe sumu. Mpendekezeni Mbowe muone CHADEMA itakavyoanguka kifo cha mende, I tell you.
Mzee Kibiongo haupo ktk ulimwengu wa TZ na unaloongea hulielewi. Wenzio walishatoka huko na wanajadili mengine.
 
hongereni saana wana CHADEMA , hivyo ndivyo siasa inafanywa.
Mwacheni Mrema na siasa zake za habari maelezo ama Mtikila na siasa zake za Mahakamani.
Siasa ni kazi ngumu saana, hasa katika hizi nnchi ambazo mwananchi wakawaida anahisi mpinzani ni muasi ama ni muhaini.
 
Mwenye picha jamani tunaomba mtuwekee tuone jinsi Mbowe alivyo vuna watu wengi kuja kumsikiliza.

Nashindwa kusema maana nilikuwapo Dodoma na huo muungurumo sijui ulifunikwa na bakuli gani maana kwa kweli zaidi ya kuyasikia magari ya matangazo sijakutana na hizo shamra shamra halafu mbona Dodoma mjini si ngome ya Cigwiyemisi?
 
Bahati mbya ulimwengu wa mawasiliano umetujuza vyema yaliyojiri mkoani humo, ingekuwa zama zile za kiza, tungetegemea analysis za mtu wa kati, lakini kwa sasa kila kitu live kutoka eneo la tukio.....pole kwa kutoziona ngurumo za CHADEMA.
 
- Binadam wote sio sawa ndio maana thamani ya nyumba mpya ya Mwenyekiti wako wa taifa, sio sawa na yako, lakini I-tembe kama inavyoitwa ni jadi yetu, hata tukiwa na nyumba ya kisasa lazima hiyo Li-tembe liiwepo pembeni hiyo ni jadi mkuu sio umasikini ndio maana hata wenye Ngombe elfu kumi bado wamo kwenye Li-tembe, yaani uemfika mpaka huko Grounde Zero lakini ukashindwa kuuliza tu usaidiwe?

- Oooh! ahsante sana kwa hiili tupo pamoja sana hapa.

- At-least wanazo shule na zahanati, nenda bungeni uone ripoti mkuu ni jimbo moja tu la Mtera, Tanzania ndilo lenye shule na zahanati kwenye kata zake zote 51, hii ni fact sio opinion, wanasema ni afadhali kukosa kiatu kuliko kutokwua na mguu kabisa, afadhali zipo mkuu hata kama hazina waalimu na manesi, sio sawa kutokuwepo kabisaa akija mgeni ambaye ni nesi au mwalimu atasaidia, lakini can you imagine iwe hakuna kabisaa?

- Mkuu wangu tuko boti moja, wote tunatka mabadiliko lakini sio yapatikane wka njia za kusema uongo, yatakuwa hayana faida, otherwise tupo pamoja sana mkuu!!

- Uwe na amani sana ndugu yangu mabadiliko yanakuja hayapo mbali sana na tupo pamoja sana!

Respect.

FMEs!

Umejitahidi sana kujitetea Mkuu...Nimekupata....
 
hivi wewe mkuu mbona unapenda kuchota akili za watu?? umetumwa au?? ni wewe wewe uliyeingia juzi juzi hapa katika kikao cha NEC dodoma ukijifanya fundi mitambo na kurusha mambo ya uko live ... hivi umerudi tena na kampeni za Chadema na sangara ya huko dodoma ... na watu na heshima zao humu ndani wakakupa na wanaendelea kukupa tu ma-thanks ya nguvu ... ama kweli serious people at work!!

Hivi huna habari kwamba kuna watu wanahabari za vyama vyote?Wanapata habari mpaka za jikoni.....Ni kweli kabisa ni serious people at work kama wewe mwenyewe ulivyosema.
 
Back
Top Bottom