CHADEMA yaumbuka Geita mjini

CHADEMA yaumbuka Geita mjini

Laiti Kinana angejua kuwa maeneo uote aliyohutubia CCM haina hata m/kiti mmoja wa serikali ya mtaa asingepoteza muda wake.
 
Tatizo la watanzania ni wanafiki sana wakati bunge la katiba mlilalamika ,wapinzani wanawasaidia kuwasemea matatizo yenu leo mmesahau yote mnashabikia ccm. Tena pamoja na wapinzani kuwasemea ndani ya bunge na nje ya bunge bado elimu haijawakomboa kweli nimeamini ccm imewaloga watanzania kweli shidaaaaa zote hizi miaka mitano hii ya mwisho wakulima wamezulumiwa pesa wafugaji wsmedhurumiwa wananch mmedhurumiwa tena leo mnamshangilia ccm kweli hii dhambi ya unafiki hii utatumaliza watanzania hivi nani katuroga. .
Samahani Kiongozi,,umeandika kwa fazaha kubwa.
Ukisoma utaona kuwa andiko lako lina makosa makubwa sana ya kiuandishi..siku nyingine punguza povu, andika kwa utaratibu tu.
 
walioahidi meli ziwa victoria mpaka sasa hazijafika ni chadema au ccm ukishapata jibu ndio utajua nani anatoa ahadi hewa
 
waliohaidi meli ziwa victoria mpaka sasa hazijafika ni chadema au ccm ukishapata jibu ndio utajua nani anatoa ahadi hewa

Umekaa sehemu kuna 4G unatuma post tu hapa kisha unasema hakuna kilichofanyika, Kweli masikini akipata.
 
Mfa Maji na Chama Chake Cha Mafisadi (CCM), Haachi Kutapatapa. Hivi Wizi na Ufisadi unaofanywa na CCM Kweli una Mfano wake kwa Vyama Vya Upinzani.

Umechanganyikiwa, sio bure.
Kwa hiyo unashindanisha wezi katika wizi..
 
Chini ya Kinana na Nape; Chagadema hawafurukuti kwa kweli. Ongereni sana makomred.
 
Umekaa sehemu kuna 4G unatuma post tu hapa kisha unasema hakuna kilichofanyika, Kweli masikini akipata.
nilifikiri naongea na mtu mwelewa kumbe hamna kitu nitajie hata meli moja ambayo imepilekwziwa victoria halafu rejea ahadi za mgombea urais kupitia ccm mwaka 2010
 
Samahani Kiongozi,,umeandika kwa fazaha kubwa.
Ukisoma utaona kuwa andiko lako lina makosa makubwa sana ya kiuandishi..siku nyingine punguza povu, andika kwa utaratibu tu.

lakini si umemwelewa?
 
Back
Top Bottom