Chadema hawafanani na Mugabe wala Jubilee ila wanafanana na Odinga na Tshvangilai maana wote ni vibaraka wa wazungu magharibi kama chadema.
Andika jibu lililo sahihi: Kwa mtazamo wako ni chama gani ambacho kinajikomba kwa mabalozi na hata kuwapa uniform zao ili wazivae kwenye mikutano yao? A: ADC
B: CHausta
C: CCM
D: NCCR-Mageuzi
E: Chadema
F: TLP
G: UDP
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums