utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
- Thread starter
- #21
huyu kijana zitto ana akili mno mbaya zaidi anapendwaaaaaaaaaaaaaa
Muombe mungu uwepo duniani kwa miezi mingine mitatu utayaona maajabu ya zitto wala hutaamini hao wazee wako wapika gongo watatafutana sana hawatajua hata mlango walioingilia.
Niwahi kusema kuwa kama mbowe na slaa hawamuomba msamaha zitto adhabu yao kwa watanzania haipimiki wala haikadriki mda si mrefu mtayaona.
huyu kijana zitto ana akili mno mbaya zaidi anapendwaaaaaaaaaaaaaa
magazeti njaa - bila kuandika habari ya CDM watoto hawakimbizani toilet.
Umekula bangi asubuhi, kalale kwanza.hiki chama ni genge la wahuni watupu na wazinzi wa kutupwa, hakauna anayejua siasa pale zaidi ya mihemuko ya mwili
Hakuna huduma kama hizo CDM, hao ni CCM.Aisee pesa iko huko chadema wewe unatakiwa uwe karibu na Mwenyekiti na katibu
Utakula tender ya mafuta ya chopa; chopa yenyewe, t-shirts production, perdiems..
Vijana changamkieni furs hizo
Yani wewe akili yako imejaa mavi!
Badala ya kutoa hoja unaleta ulimbukeninwako humu!!
Maajabu yapi! Mnataka kumpa uenyekiti wa CCM taifa?
huyu kijana zitto ana akili mno mbaya zaidi anapendwaaaaaaaaaaaaaa