Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,758
- 42,875
Niwahi kusema kuwa kama mbowe na slaa hawamuomba msamaha zitto adhabu yao kwa watanzania haipimiki wala haikadriki mda si mrefu mtayaona.
kwani wasipomuomba msamaha... sio ndio vyema ili chadema isambaratike!! au ww unataka cdm iendeleee kustawiiii!??????