utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
- Thread starter
- #41
Mkaribishe chumbani kwako.
Mkaribishe chumbani kwako.
Zito hawezichezea mtaji wake kisiasa kujiunga CUF wala CCM. Atang'ara zaidi akiendaa NCCR au yeye na wenzake wakaunda chama kipya! Tunamngoja kwenye vyama vya upinzani vya watu makini wanaoangalia demokrasia na utaifa kwanza!
labda tutayaona mama ako akiolewa.Niwahi kusema kuwa kama mbowe na slaa hawamuomba msamaha zitto adhabu yao kwa watanzania haipimiki wala haikadriki mda si mrefu mtayaona.
Ataitesa sana zitto ni mzito siyo mwepesi kama walivyodhani wao lazima wampigie magoti vinginevyo watajuta.
hivi gazeti hili ni mali ya nani! weka na bajeti ya birthday ya ccm mbeya ni shillingi ngapi! kwaa taarifa za ndani wemetumia zaidi ya billion 1.3
kwenye dakika 45 itv jana usiku, tundu lissu ambaye ni mwanasheria mkuu wa chadema amekiri kuwa ishu ya zitto ni nzito na imekigharimu chama. wewe upo nchi gani?CCM kwa kumtumia ZZK ilitumia zaidi ya trilion 50 kuisambaratisha CDM.mpaka leo cdm bado ipo IMARA.lol
hoja yako ni dhaifu. shirikisha ubongo unapoandika hapa jukwaaniKisiasa hivi sasa Zitto ni mzoga, wanaomshughulikia ni fisi (maccm).
Sasa wewe umetoa hoja gani zaidi ya ulimbukeni?
Kama wewe ulivyomkaribisha akamalizana na wewe?!
Ha ha ha ha ha ha wewe tunajua hiyo ni kazi yako usitake kuwaambukiza wenzako!!