CHADEMA yatoa ubani kwa kada wake

Bakwata walishiriki au walisusa?

Mkuu kwenye haki na ukweli hakunaga unafiki. hapa hata familia marehemu pamoja na kuwa waislamu, wamethibitisha wenyewe kuwa chadema siyo chama cha kidini. tafsiri yake ni kwamba ccm ni chama cha kidini, hasa cha kiislamu.

Mapambano yanaendelea!
 
What special did he do for the party? I only started to hear about him immeditely after his demise and I can't remember his name mentioned before that.

how many prominent chdm members do you know?
 
Mkuu kwenye haki na ukweli hakunaga unafiki. hapa hata familia marehemu pamoja na kuwa waislamu, wamethibitisha wenyewe kuwa chadema siyo chama cha kidini. tafsiri yake ni kwamba ccm ni chama cha kidini, hasa cha kiislamu.

Mapambano yanaendelea!
Hizi ndio njama zenu CDM, mnaua waislamu halafu mnasingizia CCM. Yote hii ili mpate support ya waislamu.
 
Hizi ndio njama zenu CDM, mnaua waislamu halafu mnasingizia CCM. Yote hii ili mpate support ya waislamu.

Waislamu walitoa tamko kuwa wanaIgunga wasiipigie kura chadema. Lakini kwa upande wa chadema hakuna dini yoyote iliyoipigia kampeni. Hii peke yake imetosha kuonyesha chadema siyo chama cha kidini.
 
Waislamu walitoa tamko kuwa wanaIgunga wasiipigie kura chadema. Lakini kwa upande wa chadema hakuna dini yoyote iliyoipigia kampeni. Hii peke yake imetosha kuonyesha chadema siyo chama cha kidini.
Hizi ni njia nzuri sana za kuwavutia waislamu.
 
Rip tutayaenzi yale yote uliyopigania pamoja na harakati za ukombozi kutoka mikononi mwa ccm.
 
"Dk. Slaa aliitupia lawama idara ya usalama kuwa ndiyo inatoa mafunzo kwa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) maarufu kama Green Guard waliohusika katika vitendo vya vurugu huko Igunga, yakiwemo matukio ya kuwamwagia watu tindikali."
Hivi hatuwezi kupendekeza kwenye katiba mpya USALAMA WA TAIFA ufutwe tuishi kwa amani?
 
Slaa asianze kujifanya hajui kinachoendelea kwa kurusha lawama kwa watu wasiohusika.ni dhambi kubwa sana..kwa taarifa ni kwamba,mauaji ya masud mbwana yamefanywa na chadema na yamefanyikia moshi kisha maiti ikasafirishwa tena na kutupwa igunga.sababu kubwa ya mauaji hayo ni kwamba chadema ilimshtukia mbwana kwamba alikuwa anatumiwa kuvujisha siri za cdm.familia yake haiwezi jua hili,wana cdm wa kawaida hawawezi jua hili bali watalishwa tarifa potofu na wataziamini.hebu tujiulize,huyu jamaa amesafiri kutoka dar na kufika igunga 2 days b4 electn.nani alimjua zaid ya waliomsafirisha?fanyeni uchunguzi wa mambo msikurupuke na kuanza kulaum bila kuwa na ushaidi wala uhakika wa mkisemacho.mungu amlaze pema marehem mbwana ambaye yeye pekee ndo anajua chanzo cha mkasa mzima wa kifo na mauti yake
 
What special did he do for the party? I only started to hear about him immeditely after his demise and I can't remember his name mentioned before that.

Huwezi kujua Mwita! Ulipoamua kuudanganya umma kwamba umejivua gamba, huyu bwana usingeweza kumfahamu maana ulikuwa kipofu sio tu wa kifika bali wa akili. Kwakuwa bado hujapona, utaendelea kusubiri hadi utakapoingia "ccbrt!"
 
Bakwata walishiriki au walisusa?

Bar Kwata walilaani mtandio wa kafir DC ulipo dondoka, leo Mwislamu mwenzao kafa, uhai wake umeondolewa na CCM lakini wamekaa kimya! Hapo ndipo unafiki unapodhihilika.

Kwa kifupi Bar Kwata wanaona heri ya mtandio wa kafir kuliko uhai wa mja wa mnyazimungu! Shame on Bar Kwata.
 
Back
Top Bottom