CHADEMA yatema cheche Maswa

Mkuu, sidhani kama siasa za kihuni za kukwidana zina nafasi kwenye taifa letu.

Mkuu si kila wakati diplomasia inatibu matatizo ya jamii zetu, Hata hao wazungu walionzisha ustaarabu huo wa diplomasia mara nyingi tu wameingia vitani kwa madege, mabomu, n.k......
Wakiitupa diplomasia na kufanya vita kabisa na si uhuni tu..
 
Back
Top Bottom