CHADEMA yateka Dodoma

:smash:Nitavunja hii PC yangu kama hamuweki picha waaaaaiiii...:embarassed2:
 
bila picha hapa sikomenti hata kidogo!
 
Yani wewe uko na akili sana nimekusifu sana na hata mimi nilishawai kuwaza hici kitu kuwa chadema ikishika nchi ni rahisi cuf kuingia ikulu zanzibar
 
Chadema tusikatishwe tamaa na vyombo vya dola ambavyo huongozwa kisiasa! kila wanalolifanya kutupunguzia kasi linatuongezea umaarufu! wakikakaa kmya wanaonekana wameshindwa wakiongea ukweli umeuma....wanatapata sana.
ccm ii mahututi!
2015 - chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…