Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,943
- 218,766
- Thread starter
- #81
Hakuna asichokijua , bali anasumbuliwa na njaa tu na hofu ya kufa .Pascal, hebu jaribu kuitafakari logic iliyopo kwenye club za mpira wa miguu pale zinaposhindana! Hata uwe na timu nzuri kiasi gani yenye wacbezaji makini na wanaoujua mchezo kama waamuzi na makamisaa wakiwa na upande usitarajie ushindi kwa timu hiyo! The same applied kwenye siasa za bongo ambazo dola ndio waamuzi na kwa kuwa wana upande ambao ni mwajiri wao kwa wakati huo usitarajie kuuona ushindi ukienda kwa timu inayoaminishwa kwao kuwa itawaharibia ajira na maslahi yao! Hebu siku moja kuwe na fair ground uone maajabu!