Chadema yatawala vyombo vyote vya habari vya dunia ( local & International )

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,441
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa huko miaka ya zamani akidai kwamba " CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI " akimaanisha kwamba Chama cha siasa ni lazima kijitangaze kwa wananchi kwa njia ya maandamano na mikutano ya hadhara , ikumbukwe kwamba enzi hizo hakukuwa na JF , INSTA wala FACEBOOK .

Baadhi ya wanasiasa wachovu na wenye akili mgando wakadhani wakidhibiti maandamano na mikutano ya hadhara majukwaani basi wanaweza kudhibiti harakati halali za vyama vya kisasa vya leo , wameishia kufeli vibaya sana ! Ukiangalia leo kwenye mitandao yote ya dunia hii ikiwa ni pamoja na vyombo vizito kabisa vya kimataifa habari zilizoshika chati ni habari za Chadema , hadi inaboa aiseee ! kumbe unaweza kudhani unawakomoa wengine huku bila kujua unawapaisha vibaya mno ! Hakika nguvu ya Chadema kwa sasa inatisha !

Baadhi ya watu wa mipakani wanasema kwamba huhitaji viza kuvuka mpaka , onyesha kadi ya chadema tu uruhusiwe kupita bila shida ! jambo hili ni ishara ya nini ?

Mungu ibariki Chadema
FB_IMG_1543002390453.jpg
 
Magufuli angejifunza kwa wenzie makaburu wa Afrika Kusini, ambao walimfunga Mzee wetu Mandela kifungo cha miaka 28, kwa makosa ya kubambika eti uhaini!

Lakini Mungu si wao makaburu......

Mzee wetu Mandela alitoka huko jela na akawa Rais wa kwanza mwafrika mweusi kuitawala Afrika Kusini, na akajizolea umaarufu mkubwa sana hapa duniani na inasemakana ndiye binadamu aliyekuwa maarufu zaidi duniani kati ya binadamu walioishi kwenye karne ya 20!
 
Kibaya zaidi hakuwadhuru watesi wake, sipati picha bashite ndo ashike usukani huo mama la visasi
 
...Ukiangalia leo kwenye mitandao yote ya dunia hii ikiwa ni pamoja na vyombo vizito kabisa vya kimataifa habari zilizoshika chati ni habari za Chadema , hadi inaboa aiseee ! kumbe unaweza kudhani unawakomoa wengine huku bila kujua unawapaisha vibaya mno ! Hakika nguvu ya Chadema kwa sasa inatisha !

Baadhi ya watu wa mipakani wanasema kwamba huhitaji viza mpaka , onyesha kadi ya chadema tu uruhusiwe kupita bila shida ! jambo hili ni ishara ya nini ?...
Sasa hii inamsaidiaje mgonjwa kule kwetu Mfaranyaki?
 
Nchi zilizoendelea zinatambua kuwa media ni mhimili mwingine wa nne..
Wenyewe wakawa wana dili na CDM kwa kutumia hiyo mihimili mitatu yaani serikali, mahakama na bunge.
Hata Nyerere iwahi kukisifia CDM... Wao kwa kuona mbali waka dili na huu mhimili wa nne ambao kimsingi unanguvu kubwa kwenye dunia hii.
Kwa kuja kugundua hilo ndo hizo sheria ziakaja, na kuomba marika waifungie tu bora.
Heko, CDM japo ni kwa maumivu.
 
"If you don't know where you are going, any road will take you there!. Kushinda kwenye mitandao then what? Hivi hujuiluzi kwanini watu wametulia waacha 'watawala' media waendelee kelele?
Well said walahi
Hii mijitu ingetafuta biashara za kufanya kuliko kutafuta njia ya kumtesa mtanzania walahi
Mdhungu mwenyewe amesha washtukia miroho yao mbaya na uvivu wao ndio maana yana pigwa chini katika mambo yao yote walahi
Wana laana chadrama walahi
 
Baadhi ya wanasiasa wachovu na wenye akili mgando wakadhani wakidhibiti maandamano na mikutano ya hadhara majukwaani basi wanaweza kudhibiti harakati halali za vyama vya kisasa vya leo , wameishia kufeli vibaya sana !

Erythro, una roho ngumu kama ya paka.

Kama sio hivyo, basi hutakuwa mbali sana kimuonekano na yule Jamaa wa Saddam,- comical Ally!

Lakini ninakubaliana nawe kuhusu 'futility' ya watawala kutaka kufifisha juhudi za kisiasa za wapinzani kwa kuwanyamazisha na kutaka kuzuia wananchi wasifikiwe na taarifa zao.

Picha hiyo ya vijana watatu uliyoiweka kuambatana na ujumbe wako imenifikirisha sana, nikajiuliza: hivi vichwa vyote vilivyomo humu JF, tukienda kufukua mafaili makabatini na picha za enzi hizo tukaziweka hapa---------. Eeeh!
 
Ukiangalia leo kwenye mitandao yote ya dunia hii ikiwa ni pamoja na vyombo vizito kabisa vya kimataifa habari zilizoshika chati ni habari za Chadema , kumbe unaweza kudhani unawakomoa wengine huku bila kujua unawapaisha vibaya mno ! Hakika nguvu ya Chadema kwa sasa inatisha !

Mungu ibariki Chadema
Kuhusu nguvu ya Chadema kutisha kwenye media, na mitandao ya kijamii ni kweli, ila siasa pia ni sayansi ya siasa, political science, ili hiyo nguvu inayotisha, inatakiwa ipimwe kwa matokeo where it matters most, kama ilivyo nguvu ya mamba, mumaji, hivyo nguvu ya Chadema inayotisha, inamatter wapi?. Au kutisha tuu kwenye media na mitandao ya kijamii, lakini tukija kwenye where it matters most, Chadema ni hakuna kitu kabisa!. Kanisome hapa

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!. - JamiiForums

P
 
DUH.,.. Unaamini CCM inashnda chaguzi zote mzee!??. Wekeni fair playground muone moto...

Hili la
CCM kushinda chaguzi zote, sio mambo ya imani kuuliza kama nina amini, au laa, it's a fact kwa sababu the political playground ya siasa za Tanzania sio level.

Mimi ni msomaji mzuri wa kitu kinachoitwa trends, nimewawekea trends za 2020
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P
 
Back
Top Bottom