CHADEMA yatangaza mgombea Ubunge Manyoni Mashariki

CHADEMA yatangaza mgombea Ubunge Manyoni Mashariki

Kama ni mpuwa ni heri tusimamishe beberu la mbegu. Hana sifa stahiki huyo. Ccm imejipanga bana......hata Chili hamwez......labda agombee ujumbe wa mtaa
 
Vijana wa bavicha akili huwa mnaziacha wapi??

Bavicha inakuuma vipi matajiri wa uvccm ambao mnajivunia fedha,nenda kwa Mwakyembe jimboni uone kipigo cha mbwa mwitu alichopata.
Mwakyembe na Magufuri wamesoma mchezo wametulia,sembuse chiligati,anayehemea juu
 
Tatizo lenu mkipata kijij kimoja mnatangaza dunia nzima. Cdm manyoni mnapoteza nguvu tu, hamna wagombea, mnaokota okota leo Ema kesho Mpuwa nk...kuweni na majembe sio kuchukua wasukuma mikokoten na wauza gongo ndo wawe viongozi. Jipangeni bado sanaaaaa. Kuna majembe Manyoni yanakuja huyo Mpuwa atabaki Mtupu....mtaobdoka bila kuaga...
 
Back
Top Bottom