Wakilisha nafsi yako dogo,.Chadema walikosea kumtukana Rais wetu Magufuli
Hatutawasamehe kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo kesi ilivyo sajiiriwa Mahakamani?Chadema walikosea kumtukana Rais wetu Magufuli
Hatutawasamehe kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaaa mmenikosa, nina familia inanitegemea.... mambo ya kubeep jamhuri kwangu mwikoKatibu huyo pia amewataka wafuasi wa chama hicho na watanzania wapenda demokrasia wafunge vitambaa vyeupe kwenye mikono yao popote pale walipo kama sehemu ya kuonyesha mshikamano.
Chadema walikosea kumtukana Rais wetu Magufuli
Hatutawasamehe kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani una zungumzia Mashujaa wa haki na Demokrasia ndani ya Chadema au Taifa? Maana ndani ya Chadema hakuna haki wala Demokrasia, ushujaa ndani ya chadema ni kujikomba kwa DJ au kama jinsia yako ni KE basi usimletee usumbufu DJ wakati wa mahitajio yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kesi hiyo shitaka ni kumtukana Rais Magufuli? Halafu hamtawasamehe nyinyi nani? Au ndio yale aliyosema Dr Bashiru kutumia dola kushinda?Chadema walikosea kumtukana Rais wetu Magufuli
Hatutawasamehe kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ndio maneno ya kishujaa kabisa. Wakati wa kushare maumivu umefika.Zipo dalili za visasi ama kuihujumu cdm maudhui ya kesi, mwaliko ikulu wa viongozi ikulu,matamshi mbalix2 viongozi ccm. Dawa ya hukumu ya kidhalimu kijani kisivalike mtaani.Ukondoo ukizidi heshima inapotea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe weka ushahidi wa hayo matusi.Chadema walikosea kumtukana Rais wetu Magufuli
Hatutawasamehe kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app