CHADEMA yataka bei ya ukumbi Ikulu ili wengine nao wakiwa na vikao vyao wasisite kwenda

chadema hakuna viongozi,kuna wasaini,watu wa masihara na wachekeshaji.
Huyujuzi kasema Magufuli anakandamiza na kuhujumu upinzani,inawezekana vipi mkafanyie vikao vyenu nyeti kama vya kamati kuu ikulu,si Magufuli atadaka siri zenu tu?
 
Mkuu wahurumie wazungu wamewapa mabilioni hawana ofisi ya kukutana na wageni wao wazungu Nina taarifa za uhakika kuwa mmoja WA Wafadhili ambaye ni bilionea alipokuja akaambiwa kikao kitafanyika hotelini na viongozi wa chadema aligoma Kata kata akitaka wakutane makao makuu ya chama. Wana chadema wasiopenda ufisadi wakapata email yake wakamrushia picha ya makao makuu akasema whaaaaat! Akafuta ziara na akaaapa haji fadhili vyama vya upinzani afrika ni matapeli wakubwa
Aisee!!! Hebu mkuu fanya utaratibu wa kuipata hiyo email uiweke hapa nasi tupate ushahidi huo......
 
Duuuu,,,,,mkuuu wa nchi huez kumpangia pakufanyia mkutano,,yye ni rais head of the state hata chadema wangekuwa wameshika Dora wangefanyia,,,,,,upinzanan n chama kinachoipinga serikar ilipo madarakan kwa hyo tusishangae
 
Too much sasa...kwa hali hiyo watakuwa wanazima mambo ya muhimu kwa kufanyia vikao Ikuku ili tupate mada kuongelea wiki nzima.

Mkuu kwani cdm wakizungumzia matukio kama hayo wanahodhi mijadala mingine kutokuendelea?
 
Mnapenda malumbano kila kukicha yapo mambo mengi muhimu ya kufanya kujenga taifa hili
 
Hivi nyinyi hoja yenu ni wanaccm kukaa pale ikulu? Au ni wanaccm kutumia rasilimali za serikali kichama?

Sijasikia watu wakiuliza kwanini serikali ilitumia rasilimali za ccm kuapishia wanajeshi pale arusha au hilo hamkuliona?
chadema ni moja ya vyama vya kijinga sana Africa
 
Duuuu,,,,,mkuuu wa nchi huez kumpangia pakufanyia mkutano,,yye ni rais head of the state hata chadema wangekuwa wameshika Dora wangefanyia,,,,,,upinzanan n chama kinachoipinga serikar ilipo madarakan kwa hyo tusishangae
Dora/Dola
 
Kwanza naomba ku declare kwamba si member wa chama chochote cha siasa...ila kwa hili la upinzani kuja public kwa kila tukio inakera...ni kama wanawashwa washwa
 
Mambo mengine si ya kuyang'ang'ania sana...
Wapinzani wasiwe watu wa matukio,kila likitokea jambo lishikiwe bango!
Funika kombe mwanaharamu apite...kuna mambo mengi ya kujadili kuliko hilo jambo!

Kwahiyo Pale CCM wanapojimegea Umiliki wa Kila Jambo la Umma, Sisi Tunyamaze na Kupuuzia Kama Kwamba Hayatuhusu! Hapo Ndiyo unahisi Tutakuwa Tunaonesha Ustaarabu?
 
Hilo la kufanyia kikao Ikulu linaweza kuwa dogo ukilinganisha na gharama ambazo pesa za walipa kodi zimetumika kuwasafirisha wajumbe wa kikao walio na vyeo serikalini. Hapa nawaongelea Rais wa Zanzibar, VPO, PM, Spika, Mawaziri, RCs, DCs n.k. Hawa wamesafiri kwa gharama za walipa kodi; wametumia magari ya serikali, mafuta ya serikali, madereva wa serikali n.k.
 
Kwahiyo Pale CCM wanapojimegea Umiliki wa Kila Jambo la Umma, Sisi Tunyamaze na Kupuuzia Kama Kwamba Hayatuhusu! Hapo Ndiyo unahisi Tutakuwa Tunaonesha Ustaarabu?
Kuna mambo hayana 'athari' kwa UMMA.
 
Wapinzani wasiwe watu wa matukio...Funika kombe mwanaharamu apite...
Kombe lifunikwe mpaka lini? CCM wamezoea upuuzi huu wa kufanyia mikutano yao Ikulu. Walipaswa kuchutama na kuacha tuhuma zipite badala ya kuibuka na majibu mepesi ati taratibu za kuomba kutumia Ikulu zilifuatwa.

Sasa watu wanataka kujua hizo taratibu ni zipi haswa ili wenye uwezo hata kwa vikao vya Kitchen Party na wao waende kufanyia pale baada ya kufuata taratibu zote.
 
Kwanza naomba ku declare kwamba si member wa chama chochote cha siasa...ila kwa hili la upinzani kuja public kwa kila tukio inakera...ni kama wanawashwa washwa
Kutojijua jinsi yako hakumaanishi huna jinsia. Si ajabu hata kuko unapodhani KUNAKERA ni umeshindwa tafsiri hizo hisia. Akina trump hawataki tena watu km nyie ktk jamii yao. Ni km kuwa na mwehu anayewasha moto ktk mtumbwi. Unakerwa nao kuja public?Raia wanakerwa na maumivu ya mnayofanya sirini.
 
chadema hakuna viongozi,kuna wasaini,watu wa masihara na wachekeshaji.
Huyujuzi kasema Magufuli anakandamiza na kuhujumu upinzani,inawezekana vipi mkafanyie vikao vyenu nyeti kama vya kamati kuu ikulu,si Magufuli atadaka siri zenu tu?
Si uwe mkweli tuu hujaelewa kinachosemwa.Mkeo anaweza kuwa keshakuchoka sasa hivi makonda wanampakua.Hizo kauli ni mtego wa CCM ili wapate majibu magumnu.
 
Ndio maana hawatafanikiwa kushika dola, chadema, yaani hoja zao ziko reactive sasa hivi! Hawana hoja mpaka sisiemu wafanye kitu ndo wanapata cha kusema.
Jamaa yule sasa ni wazi kuwa ni liability, kapofusha akili zote za ufipa.

maada ya kipuuzi, baada ya kikao yeye alipungukiwa nini , agenda zikikosekana hata mambo ambayo haya kichwa wala miguu vitaongelewa

Watu wasipo hoji Uhalali wa CCM kufanya Mikutano Ikulu unataka Wahoji nini? Kwani ikulu ni Mali ya CCM au Mali ya JAMHURI? Kwanini CCM waitumie Mali ya Jamhuri Kwa Vikao vya Chama?

Wacheni Uzezeta Huo! Munapodadidisiwa Jibuni hoja sio Mudogoshe hoja za Watu baada Ya Nyinyi Mabashite na Mabashitess kukosa majibu..
 
Back
Top Bottom