CHADEMA yataka bei ya ukumbi Ikulu ili wengine nao wakiwa na vikao vyao wasisite kwenda

Mambo mengine si ya kuyang'ang'ania sana...
Wapinzani wasiwe watu wa matukio,kila likitokea jambo lishikiwe bango!
Funika kombe mwanaharamu apite...kuna mambo mengi ya kujadili kuliko hilo jambo!
Hakuna hiyo , nyeusi iwe nyeusi na nyekundu iwe nyekundu .
 
Ndio maana hawatafanikiwa kushika dola, chadema, yaani hoja zao ziko reactive sasa hivi! Hawana hoja mpaka sisiemu wafanye kitu ndo wanapata cha kusema.
Jamaa yule sasa ni wazi kuwa ni liability, kapofusha akili zote za ufipa.
Hoja ya Udikteta waliianzisha wao chadema ndo wakafuata sio?
 
Mambo mengine si ya kuyang'ang'ania sana...
Wapinzani wasiwe watu wa matukio,kila likitokea jambo lishikiwe bango!
Funika kombe mwanaharamu apite...kuna mambo mengi ya kujadili kuliko hilo jambo!
Acha upuuzi ww ikulu ni office ya umma
Period
 
Too much sasa...kwa hali hiyo watakuwa wanazima mambo ya muhimu kwa kufanyia vikao Ikuku ili tupate mada kuongelea wiki nzima.
Kama lengo ni kupata hela bila shaka hata vikao vya harusi vitaruhusiwa .

Watuwekee bei yao .
 
Makao makuu ya CCM ni Ikulu?
Hivi nyinyi hoja yenu ni wanaccm kukaa pale ikulu? Au ni wanaccm kutumia rasilimali za serikali kichama?

Sijasikia watu wakiuliza kwanini serikali ilitumia rasilimali za ccm kuapishia wanajeshi pale arusha au hilo hamkuliona?
 
Mambo mengine si ya kuyang'ang'ania sana...
Wapinzani wasiwe watu wa matukio,kila likitokea jambo lishikiwe bango!
Funika kombe mwanaharamu apite...kuna mambo mengi ya kujadili kuliko hilo jambo!
Kwanza kuna nini cha maana watakachopata kwa kufanyia vikao ikulu. Wachukue madaraka nao watakuwa na wigo mkubwa wa kutumia ikulu.
 
Mkuu wahurumie wazungu wamewapa mabilioni hawana ofisi ya kukutana na wageni wao wazungu Nina taarifa za uhakika kuwa mmoja WA Wafadhili ambaye ni bilionea alipokuja akaambiwa kikao kitafanyika hotelini na viongozi wa chadema aligoma Kata kata akitaka wakutane makao makuu ya chama. Wana chadema wasiopenda ufisadi wakapata email yake wakamrushia picha ya makao makuu akasema whaaaaat! Akafuta ziara na akaaapa haji fadhili vyama vya upinzani afrika ni matapeli wakubwa
 
Kuna mtu aliuliza hoja za upinzani kama sio jana basi ni juzi,naomba aje hapa ajisomee hoja ya upinzni mimi kuunganisha uzi sikusoma sijui.
 
Back
Top Bottom