CHADEMA yaingilia kati Kesi ya Uhaini wa Dkt Slaa na Wenzake, yataka waachiwe mara moja

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,778
218,404
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha siasa kinachotajwa kuwa na wanachama wengi zaidi kuliko chama chochote cha siasa nchini Tanzania (wanachama mil 15), leo kimeingia rasmi kwenye sakata linalozunguka duniani, la kuwaua kwa kuwabambika kesi ya Uhaini wale wote wanaopinga Mkataba wa milele wa kinyonyaji na wa kutia aibu wa Bandari na DP WORLD ya Waarabu .

Kwenye Tovuti yao, CHADEMA kimeitaka mamlaka ya Tanzania kuwaachia huru watuhumiwa wote bila masharti yoyote.

Screenshot_2023-08-17-22-24-46-1.jpg
Screenshot_2023-08-17-22-24-51-1.jpg
Screenshot_2023-08-17-22-24-57-1.jpg
 
Chadema Ina wanachama wengi kuliko Chama chochote Cha siasa😇
Mnahesabu washabiki na kudai Ni wanachama!
Kama mmetupiga kwa takwimu za kupika Basi mnachotetea Ni uongo na tukiwapa nchi mtapiga vile vile,Adhabu yenu Ni kubaki Chama Cha upinzani milele daima.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Chama cha siasa kinachotajwa kuwa na wanachama wengi zaidi kuliko chama chochote cha siasa nchini Tanzania (wanachama mil 15) , leo kimeingia rasmi kwenye sakata linalozunguka duniani , la kuwaua kwa kuwabambika kesi ya Uhaini wale wote wanaopinga Mkataba wa milele wa kinyonyaji na wa kutia aibu wa Bandari na DP WORLD ya Waarabu .

Kwenye Tovuti yao , Chadema kimeitaka mamlaka ya Tanzania kuwaachia huru watuhumiwa wote bila masharti yoyote .

View attachment 2720309View attachment 2720310View attachment 2720311
Kamwe kukosoa mkataba wa Bandari hakuwezi kuwa uhaini!!
 
Back
Top Bottom