tuandamane, tusiandamane ile kata inakwenda chadema..
Hueleweki.
Povu za nini we Mbulumundu?
Hueleweki unanukuu, unaripoti, au unaongelea nafsi ya pili.
Muwe mnapewa semina ya kuandika mtandaoni ili mueleweke.
lema ni janga la taifa. anataka maandamano ili wafanye uporaji kwa raia na wahuni wenzake ...hivi hamna kitu chochote anachoweza kuwafanyia wana arusha zaidi ya maandamano? arusha kweli wana hasara hawana mbunge
kweli kabisa mkuu, kuna watu waliokwisha kupewa off kazini kwa maana kwamba wasingefungua biashara zao leo.
wewe kwanini ujiunge huku kwa waelewa kama uelewa wako mdogo. IQ yako ipo below zero nikuwekee picha?
mkuu,chadema wakifanya maandamano ujue siku hiyo arusha hakuna shughuli yoyote ya maendeleo itakayofanyika, wafanyabiashara wote wanafunga biashara zao kwa kuogopa kuporwa na wahuni wa chadema, ndio maana uchumi wa arusha umeshuka sana kwa ajili ya vurugu za chadema
Baada ya kutangaza maandamano na wafuasi wake maana tunajua hawana wanachama, serikali yayapiga stop maandamano hayo yenye lengo lilofunikwa la kupora mali za raia.
Tumekuwa tukishuhudia kila yanapotokea maandamano; wapo watu wanaopata hasara kubwa kwa kuporwa na waandamanaji, kupoteza mali n.k. Kikubwa kinachotokea ni uporaji hasa maeneo yafuatayo; bar, hotelini, maduka, vibandani, wapo pia wanaoporwa mikoba, pochi, walet, simu na vitu vingine vya thamani na waandamanaji ndio maana wanajitokeza kwa wingi maana ni siku yao ya kutengeneza
kama chadema wameshaona dalili za kushindwa huo uchaguzi ni vema wakajipanga upya maana bado kuna chaguz kibao zinakuja. Yanini kutumia vurugu kama timu ambayo imeshafungwa inavuruga mchezo?
Na kama chadema wanaamini askari wengi wanawaunga mkono kwanini wasiheshimu kazi yao ya uaskari?
kweli kabisa mkuu, kuna watu waliokwisha kupewa off kazini kwa maana kwamba wasingefungua biashara zao leo.
Hueleweki.
Povu za nini we Mbulumundu?
Hueleweki unanukuu, unaripoti, au unaongelea nafsi ya pili.
Muwe mnapewa semina ya kuandika mtandaoni ili mueleweke.
Huu 'UPORAJI'ni siasa majitaka..hakuna mtu aliyewahi kudai kuporwa ktk maandamano ya cdm.Mizigo endeleeni na manenu yenu sie twasongaTuandamane na kata tushinde haiwezekani fursa ya kupora vitu itupite hivi hivi.
vipi uchumi wa kwenu LINdimkuu,chadema wakifanya maandamano ujue siku hiyo arusha hakuna shughuli yoyote ya maendeleo itakayofanyika, wafanyabiashara wote wanafunga biashara zao kwa kuogopa kuporwa na wahuni wa chadema, ndio maana uchumi wa arusha umeshuka sana kwa ajili ya vurugu za chadema