Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Peopleeeezzzzz!!!!!
CHADEMA wameshinda uchaguzi wa mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha kwetui jimboni Bumbuli.
Katika uchaguzi huo mgombea wa CHADEMA alipata kura 196 dhidi ya mgombea wa ccm aliyepata kura 189.
Hii ni dhalili njema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 na uchaguzi mkuu 2015.
Hongereni wananchi wa Kwetui, hongereni kwa kujitambua!
peopleeeezzz!!!!