Chadema yashinda 7 kwa 4, Shinyanga

Chadema yashinda 7 kwa 4, Shinyanga

Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
5,136
Reaction score
7,655
Katika uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa kumi na moja,manispaa ya Shinyanga,CHADEMA,wamefanikiwa kupata viti 7 kati ya 11,na CCM,wakiambulia vinne!
Mitaa hiyo ni:-
1:Lubaga Farm
2:Mbuyuni
3:Magadula
4:Masekelo
5:Mwamala
6:Luhende
7:Chamaguha (Nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM,Wilaya).
CCM,imeshinda mitaa ya:-
1:Old Shinyanga
2:Bushushu
3:Lubaga
4:Bondeni(ambako,askari walifyatua mabomu ya machozi,baada ya kutokea vurugu,baada ya kutangazwa mgombea wa CCM,kushinda.)
Uchaguzi huo,uliofanyika jana,ilikuwa kujaza nafasi zilizokuwa wazi,ikiwa ni pamoja na mitaa iliyoongezwa,baada ya kugawanywa baadhi ya mitaa.
 
Habari kama hizi zinafanya moyo wangu utabasamu. hakika nguvu ya m4c inaonekana. Safi sana chadema. Mia
 
Piga Keleleeeeeeeeeeeeeeeeeee............................................
Peoplessssssssssssssssssssss.................................Power.

Nina Hasira na CCM Jamani

Peoples....................
 
Safi sana inatia moyo.Mungu yu nasi.2015 njia nyeupeee.Mungu awabariki na awatangu katika utendaji wenu wakazi mkawe wachapakai na sii mafisadi,mtuandalie njia ya 2015.
 
Shinyanga walishazika CCM siku mingi, Dr.Slaa jiandae kuongoza nchi iliyofilisika, lakini tuna imani na wewe utarejesha matumaini, ulisema hutaingia ikulu kwa kumwaga damu za watu 2015 utaingia bila tone kudondoka maana hata uchakachuaji wa magamba hautawezekana kutokana na margin itavyokuwa kubwa.Karibuni shytown.
 
Hapana mkuu lakini hiyo mitaa itakuwa ilisomba watu kwa malori toka kanda ya kaskazini kuja kupiga kura.
 
Roho imeniuma yamepataje ivo vijiji vi4 tukaze butu mapambano yanaendelea ilitakiwa matokeo yawe 11CDM-MAGAMBA 0 inawezekana yani wasipumue.
 
Daah,raaaahaaaaaaaaaaaa sana!!Hizi habari zinaniongezea raha moyoni na afya mifupani!!!Allah yupo pamoja nasi katika mapambano haya!!
 
Back
Top Bottom