mzeewajiji
Member
- Jul 28, 2015
- 18
- 16
Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika kura za maoni ndugu Tabasamu amerejea CCM pamoja na mwenyekiti wa CHADEMA Sengerema.
Kazi ndo kwanza haijaanza
Kazi ndo kwanza haijaanza
Aliekua mgombea wa ubungo kwa katika kura za maoni ndugu tabasamu amerejea ccm pamoja na mwenyekit wa chadema sengerema.
Kazi ndo kwanza haijaanza
Hahaa....waende na nyie mpate watu ...kidigo msifilisike....
Aliekua mgombea wa ubungo kwa katika kura za maoni ndugu tabasamu amerejea ccm pamoja na mwenyekit wa chadema sengerema.
Kazi ndo kwanza haijaanza
Kazi imeanza ...baada ya wachafu kutolewa sasa wasafi wanakuja kukaa pamoja
Aliekua mgombea wa ubungo kwa katika kura za maoni ndugu tabasamu amerejea ccm pamoja na mwenyekit wa chadema sengerema.
Kazi ndo kwanza haijaanza
Chadema ishasambaratika tokea siku Dr Slaa ameandika barua ya kuachia ngazi.
Tehetehetehetehe. Subiri Muziki wa Magufuli.sisimiz, tunapoteza 6, tunapata 24
Nadhani waongo ni hawa CHADEMA ambao walizusha kuwa Sumaye anataka kuhamia CHADEMAWaongo mlisema Machemli amehama Act na jana alikuwepo kwenye mkutano wazushi nyie lete picha
Ni makosa tu ya kiuandishi. Nadhani mhusika atafanya marekebishoMwalimu wako alipata shida sana darasani
Aliekua mgombea wa ubungo kwa katika kura za maoni ndugu tabasamu amerejea ccm pamoja na mwenyekit wa chadema sengerema.
Kazi ndo kwanza haijaanza
Hiyo ndo CCM. Utaipenda tuuuu. Mtaisoma namba kazi ndo imeanza.
Jana umeshuhudia wanachama wangapi walio hamia cdm kutoka ccm?tipa ya tani tatu ilijaa kadi za ccm zilizo rudishwa jana,hivyo hiyo ulio iona ni pigo kwa cdm na kuiandika kishabiki eti cdm yasambaratika ni sawa na kilo moja ya chumvi kwenye bahari ya Hindi,pole sana kwa kuendelea kuchechemea na jiandae kutawaliwa na rais lowasa