CHADEMA yasambaratika mkoani Kigoma

Join Date : 26th July 2011
Posts : 602
Rep Power : 368
Likes Received98
Likes Given0​
Kila heri....
Join Date : 5th June 2013
Posts : 1,451
Rep Power : 602
Likes Received78
Likes Given0

Unajitekenya na kucheka mwenyewe
​
 
kwani zito siwalisema kwa bab ni mchaga inakuwaje tena jamani,
watabaguana mpaka basi kwa vile ubaguzi ndani ya chadema ni jadi yao na bado kazi inaendelea.
Nasikia habari za mama yake tu!.. Kumbe baba yake ni MCHAGA?
 
maneno ya vijiwe vya kuuzia unga vinavyo milikiwa na CCM na kulindwa na Polisi
 
Kila heri....

wacha wasambaratike tu kwani hawana faida katika nchi hii

:A S 2152::A S 2152:Tehe tehe tehe....! wakati chadema wanatumia nguvu nyingi kuitafuta nafasi ya kuingia Ikulu basi CCM wanacheza na Pychology na kutumia akili kuwa maliza

chama cha kukusanya pesa hakina maana kwa taifa ila kwa kabila fulani tu.

mmeanza kubagua mpaka damu zenu kazi mnayo kweli.
Mmetumwa kupandikiza udini na ukabila.. Silaha hii haitaiokoa CCM wala kuibomoa CDM wala CUF... CCM itaanguka tu!
 
Lekatugite Ndio iliyoendelezwa Kigoma!
 
Kila heri....

wacha wasambaratike tu kwani hawana faida katika nchi hii

:A S 2152::A S 2152:Tehe tehe tehe....! wakati chadema wanatumia nguvu nyingi kuitafuta nafasi ya kuingia Ikulu basi CCM wanacheza na Pychology na kutumia akili kuwa maliza

chama cha kukusanya pesa hakina maana kwa taifa ila kwa kabila fulani tu.

mmeanza kubagua mpaka damu zenu kazi mnayo kweli.

dhambi ya ubaguzi haitaishia hapo, watazidi kusigishana sana tu.

akigombea tu ndiyo basi tena hamtamuona tena.....................

maelezo yake yanajitosheleza kwani inaonekana yuko eneo ya tukio na anashuhudia mambo yanavyokwenda mrama.

Mdharau mwiba miguu huota tenda, sasa CHADEMA ubaguzi wao utawatafuna sana.
UDINI NA UKABILA UTAIANGAMIZA CCM.. Leo kwa unafiki wenu mko CCM 2015 sura yenu halisi itaonekana tu.
 
Na bado mpaka watamshika miguu huyu kijana chezea zitto
 
Kweli kabisa, aheri tubakie na CCM inayogawa pesa inazozipata kutoka kwa wauza unga na mafisadi.

chama cha kukusanya pesa hakina maana kwa taifa ila kwa kabila fulani tu.
 
Mdharau mwiba miguu huota tenda, sasa CHADEMA ubaguzi wao utawatafuna sana.
Nyuzi kama hizi magamba yanakomaa!!mkitaka kujua akili zenu zinashikwa na nepi angalieni majibu yenu...
 
Zitto alikwisha waambia CDM muda mrefu kwamba anataka akafundishe kitakapoanzishwa chuo kikuu Kigoma.Uongozi unalijua hili siku nyingi tu.Ijapokua pia,naona ana hesabu zake fulani hivi za mbali kabisa.
 
waha siku zote na historia inaonyesha ni wasaliti. sio kwa chadema tu! anzia ccm, cuf, nccr, nk. mia
 
Mawazo mgando hayo! nani kamtenga kijana wao a nini nani? kama wanafikiri zito ametengwa ahojiwe aseme yeye siyo vijiwe vya watu wasio na kazi zaidi ya majungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…